The Zanzibar Echo
JF-Expert Member
- Apr 21, 2025
- 490
- 838
๐คฃ๐คฃ๐คฃEnhee,kimekuramba nawe๐Asante, ila I'd hii unanitukana na hii unasifia , ila yote poa tu bwashee ๐
Hatuwezi jua si ajabu I'd nyingine akakurarulia matusi ๐ ๐ ๐๐คฃ๐คฃ๐คฃEnhee,kimekuramba nawe๐
Ni Manfred huyuHatuwezi jua si ajabu I'd nyingine akakurarulia matusi ๐ ๐ ๐
Hata mimi nahisi๐ mtego huoNi Manfred huyu
HivoโNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Bwashee na wewe ulituma elf 3 nini umefungulia uzi๐๐๐Hatuwezi jua si ajabu I'd nyingine akakurarulia matusi ๐ ๐ ๐
Hahaha haya ni ma parody fulan hivi, yanafikiri mimi kiazi bwasheeBwashee na wewe ulituma elf 3 nini umefungulia uzi๐๐๐
Ipi nilitukana kakaAsante, ila I'd hii unanitukana na hii unasifia , ila yote poa tu bwashee ๐
Hatuwezi jua bwashee, ila nimeshukuru tu .Ipi nilitukana kaka
NdioKo wewe Ulevi wako ni Like na Comments tu?
Bikra 72 hutaki tena?Ndio
mlevi Wa JF Pokea Pongezi kiroho safi Tu braza๐ค๐ค๐ค๐คHahaha haya ni ma parody fulan hivi, yanafikiri mimi kiazi bwashee