Hahahaha kwanza ngoja nijinyooshe hapa kitandani nizimue kidogomlevi Wa JF Pokea Pongezi kiroho safi Tu braza🤓🤓🤓🤓
Hahaha kwamba ????Yan sahivi ni mwendo wa kumark mwandiko
Unaweza kuta huyu ni Minnie mwenyewe anajipepea tu 🤣🤣🤣
#Bado nacheka juu ya nilichokiandika..
😀😀😀😀 apo hadi nikiwa tear kuoaBikra 72 hutaki tena?
Mkuu Ni Zanzibar ya Kizimkazi au nyingineNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Hapana nyengine sina uhusiano na bi churaMkuu Ni Zanzibar ya Kizimkazi au nyingine
Tisha sanaa🔥🔥Hapana nyengine sina uhusiano na bi chura
Sawa MbojuNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
The Zanzibar Echo ni nini ? Elezea basiHapana nyengine sina uhusiano na bi chura
min -me -me unaitwa hukuNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Si unaona hii I'd ikiwa online ile nyingine inakuwa offline 🤣🤣Kwamba hauamini hata mlevi anaweza sifiwa trudie😅😅
😅😅😅 kwamba na mimi ni mtoto kiasi hicho bwasheeSi unaona hii I'd ikiwa online ile nyingine inakuwa offline 🤣🤣
ni mwendo wa kuswitch tu