Shammy-
JF-Expert Member
- Dec 2, 2022
- 7,174
- 18,884
Jaribu jaribuTatizo hata siwezi ka nyamwi😅
Halafu kuna siku nimemuona pacha wako rara reree
Jaribu jaribuTatizo hata siwezi ka nyamwi😅
😂😂😂
raraa reree hana baya kabisa anakomaa na mishe zake tuJaribu jaribu
Halafu kuna siku nimemuona pacha wako rara reree
Anataka ninywe konyagi, hanitakii mema😂😂waifu material achana na min me, utapata tropez, ila ukianza kurembua tu tunakuitia uber hatutaki kesi😂😂
Santo sana bwashee! Natumia Kilimanjaro fanya mafekeche nizimue akili mpesa namba ni ile ile .Kabisaa mtani baya natolea wapi? Ni wana tu wanafanya niwe na mbaya na mimi sitaki🤣🤣🤣🤣 nipo bia ya 9 karibu mwenetu 😘
Kumbe ni bwashee wako Tena 🫣 vumilia😜😜😜😜Asante, ila I'd hii unanitukana na hii unasifia , ila yote poa tu bwashee 🙏
Min me anatufanya sie watoto, anakuja kujipakulia minyama 😂😂😂Bro wiki mbavu lazima ziume kwa kucheka, ila min -me hana mchongo huo 😂😂😂
Hahahahaha kwann mkuu,,
Even 🤣🤣🤣🤣Min me anatufanya sie watoto, anakuja kujipakulia minyama 😂😂😂
Nitatokea kama spiderman kukutetea 😁Hahahhaa uzuri mmoja nina mabro wananitetea hata Evelyn Salt anajua😅
Eeeh subiri wale huyo ni I'd moja wafike 😂Uziiii unatembea kwa kasii Kama SGR aiseeee....hapo kwenye kujichatisha 😄😆😁😂😂😁😁🤣🤣
Hahahhaa uzuri mmoja nina mabro wananitetea hata Evelyn Salt anajua
Kanyau wewe hiyo spider yako inakuja kama ka nyau🤣🤣🤣Nitatokea kama spiderman kukutetea 😁
Bila Lamomy uzi ni batili😅😅😅Eeeh subiri wale huyo ni I'd moja wafike 😂
Kama Kuna mtu alishawahi sema ety hii I'd yangu ndo mbamizwa katumeni cc BICHWA KOMWE -
Umeona bwashee wangu ?Santo sana bwashee! Natumia Kilimanjaro fanya mafekeche nizimue akili mpesa namba ni ile ile .
Hahahahahaha hatr sana mzeeBila Lamomy uzi ni batili😅😅😅
Saida kaloli _ wenye WIVU wajinyongee 😁😁😂😂🤣🤣🤣Kuna shida mahali nyuzi za kusifia zimekuwa nyingi sana!