Eendiwo kiongoziUmeona bwashee wangu ?
Nomaa sanaa ๐๐๐๐คฃEeeh subiri wale huyo ni I'd moja wafike ๐
Kama Kuna mtu alishawahi sema ety hii I'd yangu ndo mbamizwa katumeni cc BICHWA KOMWE -
Muhanga mwenzio๐,, kwenye ID nyingine anang'twa huku anapulizwa๐คฃ๐คฃ๐คฃEnhee,kimekuramba nawe๐
Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Huyu min -me ni robot kila bost ana like analala jamii forum huyu jamaaaa so hakuna haja shukurani .... huyu jamii forum ni kwao yaaniNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Shida ni kwamba Dr ameshatupatia mashaka imani imekwisha kabisaHata nikifanya kwako ukanisifia watu watadai nilikua na id ya kike , matomaso wanataka kushika ubavuni waone alama za misumari , na mimi nawambia msiniguse kwa sababu bado sijakwenda kwa baba๐
๐๐๐Shida ni kwamba Dr ameshatupatia mashaka imani imekwisha kabisa
Jambo jema kushukuru!Naam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
Kwa muda mchache nilokuja kwahuu uzi Ningekojoaaa endapo nisingeona any dedikesioo sisii efen!๐ephen_ jiwe hili
View: https://youtu.be/G7wWmv24W50?si=tpwYeR-ExczLLryG hii ngo sikiliza kwa mziki wa pesa tafadhali
Coca mwana wangu mno๐
Yaani utafikiri bundle langu ni lakeKwa muda mchache nilokuja kwahuu uzi Ningekojoaaa endapo nisingeona any dedikesioo sisii efen!๐
Wana mambo ya hovyo kweli aaniNomaa sanaa ๐๐๐๐คฃ
Anajua dough ipo so kustream kwako sio shida kabisaYaani utafikiri bundle langu ni lake
Nimefurahi kukuonaAnajua dough ipo so kustream kwako sio shida kabisa
Kiaje ephen ๐Yaani utafikiri bundle langu ni lake
Amen thanks God nipo stede!Nimefurahi kukuona
๐๐๐Red black Vincenzo Jr Dr am 4 real PhD
Kwa kuwa bwna min -me ana nyota ya kupendwa pendwa humu JF na warembo wazuri basi atatusaidia ku- recruit warembo wa JF wawepo, mtoto kama Mallerina na waifu material , kubaaaaaabeki๐๐!!!, bia ni juu yetu wasijali๐๐