Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,877
- 43,633
min -me , chukua maua yakooooooNaam shukran zangu za dhati ziende kwa kaka min- me nilijunga jf mwaka huu akawa wa mwazo kunikakaribisha na amekua aki comment na ku like post zangu nyingi.
Hii inanipa motisha na hamasa ya kuendelea kujituma zaidi ili nifike malengo niliokusudia katika kupaza sauti za watoto wa mtaani mayatima na wa kimasikin wa jamii ya Tanzania.
Lengo langu ni siku moja The Zanzibar Echo liwe jukwaa kubwa hapa Tanzania, Afrika na dunia kwa ujumla, hivo naomba support yenu kama anavofanya kaka mkuu min- me.
Mwisho nawashkuur wote, Asanteni sana na mungu awalinde na kuwafanyia wepesi katika harakati zenu za kila siku
unajitekenya na kuchekaπ π π kwamba na mimi ni mtoto kiasi hicho bwashee
Nilijua watu wa mawazo hayo Hawa kosekani.π π π kwamba na mimi ni mtoto kiasi hicho bwashee
Masikitikooo makubwa sanaa π€£unajitekenya na kucheka
Hahahaha najua wanatania tu bwasheeNilijua watu wa mawazo hayo Hawa kosekani.
Humu ndani inashangazaa π
Mzee sisi TUENDELEEE kunywa pombe
Monetary doctor , kaka mkubwa anachokozwa Huku njoo Huku tuweke kambiiiiHahahaha inasemekana najipia assist bwashee , kweli humu ukipata mafanikio kidogo tu hata chuki za marafiki zinajitokezaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Atakuwa anakutaka huyoAsante, ila I'd hii unanitukana na hii unasifia , ila yote poa tu bwashee π
mwambie chaliako aache hizo mambo aiseMasikitikooo makubwa sanaa π€£
Tafadhali naomba msifanye fujo , mtavuruga vi bia vyangu kichwani bwasheeπMonetary doctor , kaka mkubwa anachokozwa Huku njoo Huku tuweke kambiiii
πππ€£π€£ Inaboa sanaa unajipigia assist.... yaani unajipa pasiii na kupiga goliiHahahaha najua wanatania tu bwashee
Nimeona hapo wanasema unaswitch ! Wahakikishie sio kweli bwashee, huyu trudie utamuaminishajeHahahaha inasemekana najipia assist bwashee , kweli humu ukipata mafanikio kidogo tu hata chuki za marafiki zinajitokezaπ€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£
Awe tu wa kike milango ipo wazi , ila naona kijana kaamua kunikubali tu , ngoja kwanza ni mfollowπ πAtakuwa anakutaka huyo
Amesha jua ni utani unajua mimi na mini ni vijana wa makamo mpaka mviii zimeanza Anza kwa mbaliiii hatuwezi kuwa kama GEN_Z ππ€£π€£mwambie chaliako aache hizo mambo aise
Sawa kaka tupo kwa kutulia π€£π€£π€£πππTafadhali naomba msifanye fujo , mtavuruga vi bia vyangu kichwani bwasheeπ
ππ eti umejiandikia uziHahaha kwamba ????
πππ€£π€£ Inaboa sanaa unajipigia assist.... yaani unajipa pasiii na kupiga golii
Hahahaha hapana siwezi jiandikia uzi ni wana tu wameamua kunikubali madamπππ eti umejiandikia uzi
Mizimu inataka kunipa mawazo hasi
aache hizo mambo mara mojaAmesha jua ni utani unajua mimi na mini ni vijana wa makamo mpaka mviii zimeanza Anza kwa mbaliiii hatuwezi kuwa kama GEN_Z ππ€£π€£
Siku hizi hakuaminiki kabisa humu ndaniπ€£π€£π€£ kwamba unajipigia assist