Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo πŸ™πŸ½

Kwa dunia ya sasa, trust me ni wanadamu wachache sana watakuwa busy kukosa mda wa kuingia online. Wengi wanaogopa maoni hasi ya wananchi ndio maana hawataki kuja kwa platforms kama hii. Mbona kule X wamejaa?
Yes,
Kuna watu au mtu anaweza kuku attack mpaka ukakasirika to the maximum ni rai yangu muda mwingine "kukubali kutokubaliana"😊 kwa lugha za heshima na stara🀩
 
Mhe. Wazir kuna huyu wa kuitwa JOYCE KIRIA huoni ama kusikia mafundisho yake? Anamwaga sumu ambayo ni chanzo cha kuvunja Ndoa na mfarakano katika Jamii fanya jambo kwa huyu dada. Kama yeye alivunja ndoa zake asitumie Vyombo vya Habari na Umaarufu wake kueneza Maadili yake binafsi mabovu kwa Umma.
Ahsante
 
Naunga mkono hoja kuna haja ya serikali kulifanyia kazi hili, watu wa makundi maalum wanateseka sana kwenye jamii kuna makundi mengine hayaguswi kabisa kwa kupata huduma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…