Shukrani kwa Jamii Forums kwa kunipa Tuzo πŸ™πŸ½

Shikamoo Dk Mungu arndelee kujubariki yaan hata mbinguni una tuzo maalum
Mmpenedeza
 
Mimi niseme tu kwamba ulistahili na ulipendeza sana.. Lile wigi lilikubadili mwonekano kabisa ukawa kama super 26❀❀❀
 
Hongera Ila nilikuwa Nina ombi kwako naomba uwasaidie wanawake wa Dodoma. Kijiji Cha Vikonje kata ya Mtumba. Mabinti wadogo wanapewa mimba na kuacha Shule Kuna ndoa za utotoni Kuna ubakaji wa mabinti pia Kuna magonjwa ya dhinaa. UKIMWI unawamaliza hichi Kijiji hawana Elimu yoyote ya kujikinga na maambukizi ya VVU. UKIMWI unawamaliza Zingatia hili Robo ya Kijiji wameathirika na UKIMWI.
 
Hahaha................usitake kusema nilikuwa na sababu zingine za kuvaa miwani yangu hiyo Jana ukumbini 😜
Mimi sijasema kitu zaidi ila kuna sababu, ila Mh. Dkt. Gwajima D alipendeza sana, ukumbi mzima sijaona aliemzidi. Hiyo code ya red&black ipo vizuri mno.
Ni mfano sahihi wa namna ya kupendeza.
 
Mama umependezaa kwa kweli na tuzo hiyo ndio kabisa umeng'araa haswa..
 
Hongera kwa juhudi binafsi, kwani wahenga husema hata mbuyu ulianza kama mchicha...

Hata hivyo bado hakuna matokeo chanya kwa yale unayoyapambania kwa sababu hayajawekwa bayana kama sera au kipaumbele au miongozo kwa watu wote kuyatambua kama mfumo unaopaswa kufuatwa kwenye jamii...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…