Shukrani kwa Kikwete

Shukrani kwa Kikwete

Jamani ila tusimbeze jk maana ni rais aliyeweka historia kwa kujenga chuo kikuu cha dom, kuanzisha siasa za mtandao ktk ccm, kutumia familia yake kufanya kampeni na vinginevyo.
 
Kitila,

It is frustrating kuona kuwa yani kila kona tunachechemea! Ukiangalia mfano wa BoT na Hazina, hawa jamaa wawili Mkulo na Ndulu wameshindwa kabisa kubadilisha dira ya Taifa ya uchumi. Mkulo haishi kushangilia misaada na kutamba kuhusu kusambaza bakuli, huku Ndulu anashindwa kutumia maarifa yake kumwambia bosi wake "funga mkanda, punguza matumizi, punguza ukubwa wa Serikali" na alichokifanya cha maana ni kila miezi mitatu kutoa takwimu bubu na sasa katuchaopishia noti mpya ambazo zimeshaibiwa kabla hata hazijawekwa kwenye mzunguko!

Mkuu if this is the case then tumekwisha!!
 
Watangaza nia mawaziri kila mmoja analia uchumi mgumu, je walifanya nini muda wote huo?
 
Back
Top Bottom