Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
We mwana toa mpunga!walishazika sas uchangie nini tena?
Pole sanaSalamu sana wana jamii wote.
Napenda kutoa shukrani zangu kwa wana familiya hii wote kutokana na kuitikia ombi langu la kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu aliyekuwa anaumwa.
Nilipata michango kiasi cha shilingi laki nne hivi. Niliweza kwenda na vijana wangu wawili.
Nilikuta amelazwa Hosp ya rufaa Mbeya. Nilifanikiwa kuongea naye na tulifanikiwa kushikana mikono na kutangaziana msamaha.
Tuliendelea Kuuguza na ilipofika 21/2 alifariki. Tulizika 23!2 tulimzika.
Nawashukuru sana. Mungu awabariki.
Pole sana rafikiSalamu sana wana jamii wote.