Nani kakwambia Mamdenyi hana kipato?
Who have a proof of this?I do not have,and you don have either!So shut up!
Nani kakwambia nina kipato?U don know me,I don know you!So shut up!
Watu wa JF wanaishi kifamilia?How on this earth you are generalizing this much?Sema kuna grupu la watu humu JF tunaishi kama familia,then mfungue grupu lenu muwe mnaweka thread zenu za kusaidiana na sio mnafungua kwenye public platform kama hapa.Ongeeni na Invincible awafungulie hamna mtu atawafuata!
Maisha yako ni yako,kwanini unataka kututwisha maisha yako kwa kigezo cha "eti tunaishi kifamilia"?
Ni hivi,Mamdenyi ni professional beggar,hii si mara ya kwanza kuomba misaada...lazima tuwe na ustaarabu kama society inayoendelea,kila mtu akifungua thread ya kuomba nauli JF itakua matonya.com!
Tabia za kivulana unasema wewe,kutokana na judgement ya ubongo wako binafsi,una haki hiyo!Ni safi unatumia haki yako,una uhuru hadi wa ku-provoke wenzako,huo ndio uhuru safi!