Shukrani kwa kunichangia nauli ya kwenda Mbeya kumuona mzazi mwenzangu, amefariki dunia

Utoto unakusumbua......jinga kabisa

Maana ukiwa Mkubwa huwezi kua jinga?

Ujinga haichagui umri,sasa wewe kujiweka level ya ukubwa kiumri haikupi uhalali wa kutokua jinga the same way alivyo mtoto!

Tena it is more shame mkubwa kua jinga!

Mtoto anaruhusiwa kua mjinga.He is being a kid.Huwezi ku-blame mtoto kwa kua mtoto,wewe ndio mpumbavu!
 

una tabia za kike....huwa zinasumbua sana
 

Haya mambo ya ligi yanawafaa watoto wa kike
 
una tabia za kike....huwa zinasumbua sana

Ngonyango

Naona umehamia matusi....

Ndio unaone how you brains got shit stains!

Jibu kilichozungumzwa,sio unatumia shortcut ya matusi...haya ruksa,harisha now!
 
Mmoja wa wanawake waungwana hapa JF ni Mamndenyi.
jingalao na YEHODAYA mngeiga kwa huyu mwanamke mwenzenu mngeheshimika sana


hahhaha nakereka kucheka kwenye uzi wa msiba jaman !nimecheka had mama ananiambia unawezaje kucheka alone !dah!hv kumbe hao ni wenzetu??????
 
Pole sana. kwa hakika kazi ya Mungu hainamakosa.
 
Mkuu umesikika basi kausha!
Waache waliojisikia kuotoa wametoa, ni hiyari yao hajawashurutishwa kwa bunduki.

Ni bora alie omba kuliko angefanya uhalifu au kuuza utu wake sababu ya shida ambazo anaweza kusaidiwa na jirani zake( Jirani ni JF members na wengineo).

Wakati mwingine busara au utamaduni mzuri ni kukaa kimya tu.
 


Titicomb

Nakuelewa.

Ila pia kunyamaza sio eti ni busara kila siku vilevile!

Kaomba sawa,freely..na mimi nimetoa yangu,freely...sio tatizo!

Ombaomba na uhalifu vyote ni makosa!Hakuna eti mavi makubwa na mavi madogo,yote mavi mkuu!

Peace!
 
Kuna Tatizo zaidi ya hili.... Sio bure. Ila pole kaka.... Nashauri pia uwaone wataalamu wa afya ya akili. ....watakusaidia....
 
Kuna Tatizo zaidi ya hili.... Sio bure. Ila pole kaka.... Nashauri pia uwaone wataalamu wa afya ya akili. ....watakusaidia....


Yaani mtu akiwa kinyume na ukitakacho wewe akaone daktari?

Una uhakika gani sio wewe ukawaone madaktari na mimi ndio niende?Umetumia kipimo gani?

Mbona mnajipa umiliki wa morality?Kwamba mpo moral sana zaidi ya wapingao?

Kwahiyo ukitakacho wewe ndio measuring unit ya sanity?

Mbona madikteta hivi?Jeeezzz!
 
NEC ya moyo wako imeshatangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi jimboni?
 
NEC ya moyo wako imeshatangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi jimboni?
 
NEC ya moyo wako imeshatangaza kuanza kwa mchakato wa uchaguzi jimboni?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…