Shukrani kwa member aliyenisaidia

Shukrani kwa member aliyenisaidia

Kama kesho ukisaidiwa,tafadhali usirudi kushukuru humu....
Nenda kawasimulie wenzio juu ya wema uliokutana nao humu...

Sio unajaza seva humu kwa post za asante

[emoji23][emoji23][emoji23] Dah watu mna wivu ase
 
Kaka usidanganywe hakunaga urafiki au undugu wa upande mmoja.

Ndio maana nimeshauri ajipange mbeleni naye aonyeshe shukrani hata kumnunulia kitu kidogo sna kama zawadi.
Hapo ataimarisha undugu wao.

Sisi wakristo tuna kitu kinaitwa fungu la 10 la mapato.

Unafikiri Mungu anahitaji pesa yetu sana?
Hapana bali nasi twaonyesha kujali na shukrani kwa kutuwezesha kupata riziki zetu.
Ni kuukuza uhusiano wetu na Mungu.
Nimekukumbusha nini?
Rafiki yetu hajambo?

[emoji28][emoji28][emoji28]mzima kabisa

Ila we kijamaa bwana[emoji28]

Menkajuantakuamwenyekitiwakamatibwananyievijanaburekabisa
 
[emoji28][emoji28][emoji28]mzima kabisa

Ila we kijamaa bwana[emoji28]

Menkajuantakuamwenyekitiwakamatibwananyievijanaburekabisa
Hahamkuukilakitu kinaMunguhuwezilazimishahaha
 
Kaka usidanganywe hakunaga urafiki au undugu wa upande mmoja.

Ndio maana nimeshauri ajipange mbeleni naye aonyeshe shukrani hata kumnunulia kitu kidogo sna kama zawadi.
Hapo ataimarisha undugu wao.

Sisi wakristo tuna kitu kinaitwa fungu la 10 la mapato.

Unafikiri Mungu anahitaji pesa yetu sana?
Hapana bali nasi twaonyesha kujali na shukrani kwa kutuwezesha kupata riziki zetu.
Ni kuukuza uhusiano wetu na Mungu.
Nimekukumbusha nini?
Rafiki yetu hajambo?
Ha haaa
Hilo fungu la 10 ni upigaji tu wa binadamu wenzio walio smart upstairs.
Mungu hana haja na vijisenti vyako, kama ni kwa ajili ya watu wengine maskini ametoa amri na asiyefanya kazi asile, kwa maana ya tutakula kwa jasho letu.
 
Duu naomba nisiongee kitu Mana mitizamo yetu iko tofauti. Ila nashukuru kwa ushauri wako pia. Barikiwa nawewe nakuombea mazuri Kama ndio ndoto zako zitimie
Umepata kazi gani kwani? Maana ninaona wadau wengi wanakupongeza tu. Na mshahara ni kiasi gani kwa mwezi?
 
Ha haaa
Hilo fungu la 10 ni upigaji tu wa binadamu wenzio walio smart upstairs.
Mungu hana haja na vijisenti vyako, kama ni kwa ajili ya watu wengine maskini ametoa amri na asiyefanya kazi asile, kwa maana ya tutakula kwa jasho letu.
MKuu
Achajanjajanjamkuusijaonamdadamzurikamane...a
Mkuunimekosaninimimilakini?
Mbonaumenikomalianiniumeambiwa?
 
Jf ina watu wa aina zote; wema na wabaya Kama ilivyo tu mtaani. Humu ndani ukiishi na watu vizuri bila matusi na lugha mbovu unapata marafiki wazuri ambao pengine wanaweza kuyabadilisha hata maisha yako (connection).

Idumu milele jf. Wadumu watu wema wa Jf pia. Abarikiwe aliyekusaidia.
Humu kana watu wema na wabaya.
Majitu mashenzi yapo kama ambavyo watu wema wapo
 
Kama kipato kimeongezeka ongeza mke wa pili uzae naye watoto hata wanne tu.
Riziki inakuja kutokana na ukubwa wa familia.
Zaa ndugu ujaze dunia usiwe mbinafsi sasa kazi unayo na salary unayo shida iko wapi?
Kama nguvu za kiume huna binafsi najitolea kukusaidia bure kiroho safi.
Ongeza mke mkuu.
Daaa
 
Laki kubwa sana hata kitu cha thamani ya 10k tu
KWELI MKUU, MIMI ALIYENIPA CONNECTION YA KAZI NILIMNUNULIA KITENGE KIZURI, SIKU NYINGINE NIKAMTUMIA PESA YA SODA, INALETA MOYO SIO MTU UNATOA SHUKURANI KAVU
 
KWELI MKUU, MIMI ALIYENIPA CONNECTION YA KAZI NILIMNUNULIA KITENGE KIZURI, SIKU NYINGINE NIKAMTUMIA PESA YA SODA, INALETA MOYO SIO MTU UNATOA SHUKURANI KAVU
Safi sana inaonyesha kujali mchango wake
 
Back
Top Bottom