Na jana nilimwambia Waziri awashawishi na Mawazo wenzake wajiunge humu kwa majina yao na wapewe badge ili tuwe tunawafikishia maoni yetu."Kupitia mjadala huu, tumeokoa muda na gharama kubwa za kutafuta maoni hata kama uwakilishi haukuwa na uwiano mzuri zaidi wa wanawake na wanaume"
Moja ya faida ya teknolojia imeokoa gharama za msululu wa magari na mafuta plus vyakula kwenda kuchukua maoni sehemu mbalimbali.
Sahihi shida hoja za humu nzito wengine wataogopa maswali mazito.Na jana nilimwambia Waziri awashawishi na Mawazo wenzake wajiunge humu kwa majina yao na wapewe badge ili tuwe tunawafikishia maoni yetu.