A
Anonymous
Guest
Pamoja na salamu, napenda kutumia fursa hii kutoa shukrani zangu za dhati kabisa kwa viongozi na mamlaka zote husika za Halmashauri ya Wilaya ya Urambo, Mkoani Tabora.
Hoja iliyopita ~ Fedha za Kujikimu zinaua morari ya Ajira Mpya Urambo - Tabora, tulipeni
Wiki chache zilizopita, niliandika na kuwasilisha ucheleweshaji wa malipo ya fedha za kujikimu kwa sisi walimu wa ajira mpya tulioripoti tangu mwezi Februari 2026. Wakati huo, changamoto hiyo ilikuwa imetupa wakati mgumu sana katika utendaji wetu wa kazi wa kila siku.
Nawashukuru sana viongozi wetu kwa kusikia kilio chetu na kuchukua hatua za haraka.
Mwalimu (Ajira Mpya - Urambo)