Geza Ulole
JF-Expert Member
- Oct 31, 2009
- 65,136
- 91,917
Na lini tutajadili jamii za Lokichar, Marsabit na Turkana?Hili limewahi kujadaliwa sana Tanzania, mnabebwa na watu wa jamii chache, wengine wote ni wazembe sana Je, kuna uhusiano kati ya IQ ya mtu na kabila lake, umasikini wake au kimo chake?
Kwani ulikuwa unataka tukasirike wakati mahusiano yetu yanaimarika? Haijalishi nani ananufaika zaidi, mahusiano mema ni jambo zuri la na kufurahia.
Hii furaha yenu imezidi sio furaha ya kawaida, ni Kama kwamba bila Tanzania wakenya mnapata taabu Sana, mbona sisi tunaona ni kawaida tu, kuwepo na mahusiano mazuri au mabaya, kwetu Kenya haina umuhimu sanaKwani ulikuwa unataka tukasirike wakati mahusiano yetu yanaimarika? Haijalishi nani ananufaika zaidi, mahusiano mema ni jambo zuri la na kufurahia.
Kenya haina umuhimu kwenu ndio maana mama wenu alikuja kutupigia magoti huku ili kurudisha uhusiano mwema?Hii furaha yenu imezidi sio furaha ya kawaida, ni Kama kwamba bila Tanzania wakenya mnapata taabu Sana, mbona sisi tunaona ni kawaida tu, kuwepo na mahusiano mazuri au mabaya, kwetu Kenya haina umuhimu sana
Uhuru ndiye aliyemualika Mama Kenya,na sio vinginevyo..mwaliko huo alitumwa Waziri wenu wa Michezo akauwasilisha Ikulu ya DSM..Kenya haina umuhimu kwenu ndio maana mama wenu alikuja kutupigia magoti huku ili kurudisha uhusiano mwema?
Sasa mbona ninyi ndio wenye kufurahi sio sisi?, Huyu mama ni mzururaji Kama Kikwete na Uhuru Kenyatta, ametembelea Uganda, Rwanda na Burundi pia, lakini nchi zote hizo hazifurahii Kama mnavyofurahia wakenya[emoji23][emoji23]Kenya haina umuhimu kwenu ndio maana mama wenu alikuja kutupigia magoti huku ili kurudisha uhusiano mwema?
Hii furaha yenu imezidi sio furaha ya kawaida, ni Kama kwamba bila Tanzania wakenya mnapata taabu Sana, mbona sisi tunaona ni kawaida tu, kuwepo na mahusiano mazuri au mabaya, kwetu Kenya haina umuhimu sana
Onyesha data Kama "maize export ya Tanzania ilishuka, Kati ya Tanzania inayokosa pesa na Kenya inayopoteza maisha ya wananchi wake kwa njaa, ipi yenyekufaidika zaidi na mahusiano mazuri?Haina muhimu ndio maize exports by Tanzania zilishuka 73% wakati Kenya iliposema hainunuia mahindi kutoka Tanzania? [emoji28][emoji28]
Kenya ndio the largest source of FDI into Tanzania na the 2nd largest export market ya Tanzania [emoji28][emoji28]
Economy yenu tunadecide hapa hapa Nairobi.
Hahahaha, eti Kenya is the largest source of FDI kwa Tanzania, tukisema hamna akili mnasema tunawatukana, mngekua ni largest source of FDI msinge kufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23]Haina muhimu ndio maize exports by Tanzania zilishuka 73% wakati Kenya iliposema hainunuia mahindi kutoka Tanzania? [emoji28][emoji28]
Kenya ndio the largest source of FDI into Tanzania na the 2nd largest export market ya Tanzania [emoji28][emoji28]
Economy yenu tunadecide hapa hapa Nairobi.
Kumbe mnalijua hiloKwani ulikuwa unataka tukasirike wakati mahusiano yetu yanaimarika? Haijalishi nani ananufaika zaidi, mahusiano mema ni jambo zuri la na kufurahia.