Shukrani mama Samia; Tanzania, Kenya resolve 10 more trade hindrances

Jambo la kushangaza ni kwamba Tanzania ndiyo inayonufaika zaidi kuliko Kenya kibiashara, lakini wakenya ndio wenye kufurahi zaidi kuliko Tanzania mahusiano yanapozidi kuimarika[emoji23][emoji23]
Tony254
dyfre
 
Kwani ulikuwa unataka tukasirike wakati mahusiano yetu yanaimarika? Haijalishi nani ananufaika zaidi, mahusiano mema ni jambo zuri la na kufurahia.
 
Hii furaha yenu imezidi sio furaha ya kawaida, ni Kama kwamba bila Tanzania wakenya mnapata taabu Sana, mbona sisi tunaona ni kawaida tu, kuwepo na mahusiano mazuri au mabaya, kwetu Kenya haina umuhimu sana
 
Kenya haina umuhimu kwenu ndio maana mama wenu alikuja kutupigia magoti huku ili kurudisha uhusiano mwema?
 
Sasa mbona ninyi ndio wenye kufurahi sio sisi?, Huyu mama ni mzururaji Kama Kikwete na Uhuru Kenyatta, ametembelea Uganda, Rwanda na Burundi pia, lakini nchi zote hizo hazifurahii Kama mnavyofurahia wakenya[emoji23][emoji23]
 
Hii furaha yenu imezidi sio furaha ya kawaida, ni Kama kwamba bila Tanzania wakenya mnapata taabu Sana, mbona sisi tunaona ni kawaida tu, kuwepo na mahusiano mazuri au mabaya, kwetu Kenya haina umuhimu sana

Haina muhimu ndio maize exports by Tanzania zilishuka 73% wakati Kenya iliposema hainunuia mahindi kutoka Tanzania? 😅😅

Kenya ndio the largest source of FDI into Tanzania na the 2nd largest export market ya Tanzania 😅😅
Economy yenu tunadecide hapa hapa Nairobi.
 
Haina muhimu ndio maize exports by Tanzania zilishuka 73% wakati Kenya iliposema hainunuia mahindi kutoka Tanzania? [emoji28][emoji28]

Kenya ndio the largest source of FDI into Tanzania na the 2nd largest export market ya Tanzania [emoji28][emoji28]

Onyesha data Kama "maize export ya Tanzania ilishuka, Kati ya Tanzania inayokosa pesa na Kenya inayopoteza maisha ya wananchi wake kwa njaa, ipi yenyekufaidika zaidi na mahusiano mazuri?
 
Haina muhimu ndio maize exports by Tanzania zilishuka 73% wakati Kenya iliposema hainunuia mahindi kutoka Tanzania? [emoji28][emoji28]

Kenya ndio the largest source of FDI into Tanzania na the 2nd largest export market ya Tanzania [emoji28][emoji28]
Economy yenu tunadecide hapa hapa Nairobi.
Hahahaha, eti Kenya is the largest source of FDI kwa Tanzania, tukisema hamna akili mnasema tunawatukana, mngekua ni largest source of FDI msinge kufa kwa njaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom