Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.Angerudisha TANO angekumbukwa, mtaendelea kumkumbuka Rage.
Ndio inaweza kuchukua na kujaza makombe. Na swali la msingi zaidi. Naomba ripoti ya wauza mihadarati na watumiaji waliokua wanaifadhili yanga bila kufuata maneno ya vijiweni..Swali la Msingi!
Yanga inaweza kujaza Makombe bila ya Fedha za Ufadhili toka kwa Wauza na watumia Mihadarati? [emoji12] [emoji12] and
Pengo la Manji litazibwa na Mzee Yahaya Akili mali watani zetu Yanga Msiwe na Mushkel wala Mshawasha![emoji12][emoji12][emoji12]
Ndio inaweza kuchukua na kujaza makombe. Na swali la msingi zaidi. Naomba ripoti ya wauza mihadarati na watumiaji waliokua wanaifadhili yanga bila kufuata maneno ya vijiweni..
NB; Tusipende kufuata maneno ya mitaani na kufuata mkumbo
Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
Ugomvi wangu ni pale FCB unapoihusisha na soka lenu la bongo ACHA KABISA MKUU.Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
Mtani tatizo maneno niliyo andika yanakzumiza mpaka unaona kama povu.Punguza Povu, tupo kwny Utani wa Jadi! [emoji12] [emoji12]
Vitu vingine relax chukulia kawaida, una uzalendo wa kumfikia Nyerere?
Lakin Kadanja kaacha Matatizo kibao!
Hahahaaaa... Mkuu mimi nimetolea mfano tu. Lakini sawa nimekuelewa.Ugomvi wangu ni pale FCB unapoihusisha na soka lenu la bongo ACHA KABISA MKUU.
Sisi wana simba tunamkumbuka kwa uongozi wake thabiti uliosababisha kwenda msimu mzima bila kufungwa NYIE ndala mkumbukeni kama kiongozi wa simba aliyewapa TANO.Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
Mara ya mwisho kuchukua ubingwa ilikua lini.?Sisi wana simba tunamkumbuka kwa uongozi wake thabiti uliosababisha kwenda msimu mzima bila kufungwa NYIE ndala mkumbukeni kama kiongozi wa simba aliyewapa TANO.
Usikute mtu kama wewe ukibishana na mwana Arsenal anaejitapa kufika fainali UCL kama mafanikio yao huwa unatokwa povu balaa, ila kwa Mikia poa tu.Sasa Nyie na Mbwembwe zenu zote kuna Kombe gani mshawahi kuchukua Simba hawajalichukua?
Sie 1993 angalau wa Tanzania tuliwaletea Fainali ya Kombe Uwanjani na Stella Abdijan Uwanjani wa Taifa! [emoji12] [emoji12]
Furaha ya Kombe imemezwa na Simanzi za kuondokewa na Muhindi!
Poleni sana Watani zetu
Sasa Nyie na Mbwembwe zenu zote kuna Kombe gani mshawahi kuchukua Simba hawajalichukua?
Sie 1993 angalau wa Tanzania tuliwaletea Fainali ya Kombe Uwanjani na Stella Abdijan Uwanjani wa Taifa! [emoji12] [emoji12]
/QUOTE]
Nyakati za Kale shujaa wa kimasai alikuwa anapimwa kwa Jitihada zake za kuua simba mwituni.
Ila siku hizi kuna wanaume pia wanajiita shujaa kwa kupigana na simba tu, haijalishi kama amemuua au lah.
Nadhani unemelewa hapo!
Binafsi zithubutu kujiweka kundi la pili.
Furaha ya Kombe imemezwa na Simanzi za kuondokewa na Muhindi!
Poleni sana Watani zetu