moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 142,674
- 743,909
Mkuu nampongeza Manji kwa mafanikio aliyowapa yanga ingawa mimi si mwanayanga, lakini futa kauli yako kuwa yeye manji ni kiongozi mzuri kuliko wote walopita hapo jangwani. hapo walipita vidume na wakaacha historia iliyotukuka. moja ya watu hao ni wale waliofanikisha ujenzi wa jengo la mtaa wa twiga na jangwani pamoja na uwanja wa kaunda. huwezi wabeza akina mangara tabu na Shiraz Sharif kwa waliyoyafanya jangwani