Shukrani Mwanajangwani Yusuph Manji, Mafanikio yako yanaonekana.

Mkuu nampongeza Manji kwa mafanikio aliyowapa yanga ingawa mimi si mwanayanga, lakini futa kauli yako kuwa yeye manji ni kiongozi mzuri kuliko wote walopita hapo jangwani. hapo walipita vidume na wakaacha historia iliyotukuka. moja ya watu hao ni wale waliofanikisha ujenzi wa jengo la mtaa wa twiga na jangwani pamoja na uwanja wa kaunda. huwezi wabeza akina mangara tabu na Shiraz Sharif kwa waliyoyafanya jangwani
 
Angerudisha TANO angekumbukwa, mtaendelea kumkumbuka Rage.
Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
 
Swali la Msingi!

Yanga inaweza kujaza Makombe bila ya Fedha za Ufadhili toka kwa Wauza na watumia Mihadarati? [emoji12] [emoji12] and
Ndio inaweza kuchukua na kujaza makombe. Na swali la msingi zaidi. Naomba ripoti ya wauza mihadarati na watumiaji waliokua wanaifadhili yanga bila kufuata maneno ya vijiweni..

NB; Tusipende kufuata maneno ya mitaani na kufuata mkumbo
 
Pengo la Manji litazibwa na Mzee Yahaya Akili mali watani zetu Yanga Msiwe na Mushkel wala Mshawasha![emoji12][emoji12][emoji12]

Vipi kuhusu lile la Rage? AVEVA ameliziba tayari? naona siku hizi mnachukua tu ubingwa wa ligi tangu aveva awe rais wenu..lol
 
Ndio inaweza kuchukua na kujaza makombe. Na swali la msingi zaidi. Naomba ripoti ya wauza mihadarati na watumiaji waliokua wanaifadhili yanga bila kufuata maneno ya vijiweni..

NB; Tusipende kufuata maneno ya mitaani na kufuata mkumbo

Punguza Povu, tupo kwny Utani wa Jadi! [emoji12] [emoji12]

Vitu vingine relax chukulia kawaida, una uzalendo wa kumfikia Nyerere?

Lakin Kadanja kaacha Matatizo kibao!
 
Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]

Sasa Nyie na Mbwembwe zenu zote kuna Kombe gani mshawahi kuchukua Simba hawajalichukua?

Sie 1993 angalau wa Tanzania tuliwaletea Fainali ya Kombe Uwanjani na Stella Abdijan Uwanjani wa Taifa! [emoji12] [emoji12]

Furaha ya Kombe imemezwa na Simanzi za kuondokewa na Muhindi!

Poleni sana Watani zetu
 
Ukifika muda Maalum..achia Udiwani toka CCM ...njoo ukawa tukukabidhi kiti cha Ilala maana wadosi wengi ndo sapoti ya ccm..hivyo tukichukuwe bila ya zengwe
 
Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
Ugomvi wangu ni pale FCB unapoihusisha na soka lenu la bongo ACHA KABISA MKUU.
 
Punguza Povu, tupo kwny Utani wa Jadi! [emoji12] [emoji12]

Vitu vingine relax chukulia kawaida, una uzalendo wa kumfikia Nyerere?

Lakin Kadanja kaacha Matatizo kibao!
Mtani tatizo maneno niliyo andika yanakzumiza mpaka unaona kama povu.

Basi nitajitahidi kulefeza mwandiko [emoji404]
 
Ugomvi wangu ni pale FCB unapoihusisha na soka lenu la bongo ACHA KABISA MKUU.
Hahahaaaa... Mkuu mimi nimetolea mfano tu. Lakini sawa nimekuelewa.

Halafu hili ni soka letu soka letu sote, unaposema soka lenu halafu unaji exclude unanichanganya. Kama ni soka letu uliingia kwenye hii thread kutafuta nini.?

Uzalendo kwanza mtani.. [emoji5] [emoji5]
Hivi bado Barca wanafukuzia kombe eeeh.? [emoji27]
 
Rage akumbukwe kwa lipi.? Nyinyi ndio mjikumbushe. Halafu tatizo linaliwatatiza nyinyi ni sawa na linalo watatiza Barca. Yaan mkishamfunga mpinzani tu kazi imeisha. Na mtaendelea kuwa ivyo ivyo na makombe hampati.
..
Hongereni kwa usindikizaji. [emoji12] [emoji12]
Sisi wana simba tunamkumbuka kwa uongozi wake thabiti uliosababisha kwenda msimu mzima bila kufungwa NYIE ndala mkumbukeni kama kiongozi wa simba aliyewapa TANO.
 
Manji ameifanyia mengi na mazuri Yanga.

All the best Manji. Keep supporting your team Yanga.
 
Sasa Nyie na Mbwembwe zenu zote kuna Kombe gani mshawahi kuchukua Simba hawajalichukua?

Sie 1993 angalau wa Tanzania tuliwaletea Fainali ya Kombe Uwanjani na Stella Abdijan Uwanjani wa Taifa! [emoji12] [emoji12]

Furaha ya Kombe imemezwa na Simanzi za kuondokewa na Muhindi!

Poleni sana Watani zetu
Usikute mtu kama wewe ukibishana na mwana Arsenal anaejitapa kufika fainali UCL kama mafanikio yao huwa unatokwa povu balaa, ila kwa Mikia poa tu.
 
Sasa Nyie na Mbwembwe zenu zote kuna Kombe gani mshawahi kuchukua Simba hawajalichukua?

Ni kweli ukisemacho ila cha Ajabu ni pale tutakapo anza kuhesabu "IDADI" ya hivyo vikombe ambavyo unadai kuwa na wewe umebeba.

Kumbuka hata Mtibwa naye ameshawahi kubeba Ligi Kuu.
 
Sie 1993 angalau wa Tanzania tuliwaletea Fainali ya Kombe Uwanjani na Stella Abdijan Uwanjani wa Taifa! [emoji12] [emoji12]

/QUOTE]

Nyakati za Kale shujaa wa kimasai alikuwa anapimwa kwa Jitihada zake za kuua simba mwituni.

Ila siku hizi kuna wanaume pia wanajiita shujaa kwa kupigana na simba tu, haijalishi kama amemuua au lah.

Nadhani unemelewa hapo!

Binafsi zithubutu kujiweka kundi la pili.
 
Furaha ya Kombe imemezwa na Simanzi za kuondokewa na Muhindi!

Poleni sana Watani zetu

Asikwambie mtu .

Furaha ambayo niliyonayo kama mwana Yanga SC...haiwezi kulinganishwa na tukio lolote lile.

Kuondoka kwake ni kwa kawaida mno ukizingatia Mkwanja wa SportPesa uko around.

Siwezi kuwalaumu ni kwanini mnamuona ndio kila kitu pale Yanga , huenda alivyo wakosesha taji la Ligi yangu aingie madarakani ndio sababu ya nyinyi kumuona ni wa muhimu mno.

Kumbuka kabla yake tulibeba Ndoo za Ligi kuu 23 nyingi zaidi kuliko zako za Ligi....ni baada tu ya kuja yeye na kuongeza sindano 4 Kwenye mioyo yenu.
 
Back
Top Bottom