Shukrani Rais Samia kwa kuendelea kuweka sawa, hapakuwa na sababu za chuki zile

MK254

JF-Expert Member
Joined
May 11, 2013
Posts
32,408
Reaction score
50,809
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakuwa na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikuwa na hatia yoyote.....

Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakuwa aina fulani ya mtu wa hatari sana hata kwa jamii iliyokuzunguka na kukutegemea.

====================================

President Samia Suluhu Hassan said yesterday that the order to burn 6,400 live chicks imported from Kenya five years ago was wrong.
The chicks which were impounded at the Namanga border town were set on fire in November 2017 on grounds that they were smuggled in.
Five years after the torching, the President said the action nearly soiled the historical relations between the two trading partners.
“It was not a good way to handle such imports. Even chickens have the right to live,” she said when she addressed lawyers from the region.
The move was criticised by members of the business community from the two neighbouring countries as well as animal rights groups.
The 6,400 day- old chicks were impounded at the famous border town between the two states on allegations of being illegal imports.
Read: Banning and burning chickens business
The matter nearly degenerated into a diplomatic tiff as Kenya formally protested on what it termed “ a policy shift that condones hostile actions against Kenyan citizens.”
The then Tanzania High Commissioner to Kenya Dr. Pindi Chana was summoned by the Kenya Foreign Ministry to explain “the unilateral action”.
At that time the ministry of Livestock Development and Fisheries said that burning of live chicks was made to prevent the spread of bird flu.

Citizen Kenya
 
Mahusiano ya kimataifa hususan baina ya majirani hayajengwi kwa chuki, majungu na visasi, hapakua na ulazima kuelekeza hasira zote zile kwa vifaranga ambavyo havikua na hatia yoyote.....
Hao vifaranga bora hata mngewapa sumu, lakini kutia viberiti vifaranga 6,400 wakiwa hai lazima utakua aina fulani ya mtu wa hatari sana hata kwa jamii iliyokuzunguka na kukutegemea.

====================================

President Samia Suluhu Hassan said yesterday that the order to burn 6,400 live chicks imported from Kenya five years ago was wrong.
The chicks which were impounded at the Namanga border town were set on fire in November 2017 on grounds that they were smuggled in.
Five years after the torching, the President said the action nearly soiled the historical relations between the two trading partners.
“It was not a good way to handle such imports. Even chickens have the right to live,” she said when she addressed lawyers from the region.
The move was criticised by members of the business community from the two neighbouring countries as well as animal rights groups.
The 6,400 day- old chicks were impounded at the famous border town between the two states on allegations of being illegal imports.
Read: Banning and burning chickens business
The matter nearly degenerated into a diplomatic tiff as Kenya formally protested on what it termed “ a policy shift that condones hostile actions against Kenyan citizens.”
The then Tanzania High Commissioner to Kenya Dr. Pindi Chana was summoned by the Kenya Foreign Ministry to explain “the unilateral action”.
At that time the ministry of Livestock Development and Fisheries said that burning of live chicks was made to prevent the spread of bird flu.
MK254 na ninyi was it fine to stockpile Tanga Fresh Milk na baadaye kuyatoa yakiwa yame expire na kusema Tanzania wanaingiza expired milk na kusema eti Tz wants to kill Kenyans. The problem mliyonayo ni greedy. Never expect watanzania watawapenda kwa unafiki wenu. Hapo Rais ataongea ila from the bottom wanafanyia kazi kisera nothing will change mkijichanganya tena hao vifaranga watachomwa na mpaka sasa hamuwezi kuingiza uchafu wenu wa bidhaa bongo
 
Wapo wengi tu ,hawataki kusikia "Shujaa wao" kaguswa.

Naungana na Mama Samia kwa kurudisha uhusiano mzuri na majirani zetu.
Magufuli anaweza kuwa hakuwa sahihi lakini Kenya haijawahi kuwa na nia njema na Tanzania.

Wakenya wanapuzuia mahindi ya Tanzania kwa kusema yana sumu kuvu, miaka na miaka Watanzania wanapata hasara hilo hamlioni ama mnajiandikia tu kama vile mmeshikwa makalio?

Umewahi ku export chochote kwenda Kenya uone adha unayokutana nayo?
 
MK254 na ninyi was it fine to stockpile Tanga Fresh Milk na baadaye kuyatoa yakiwa yame expire na kusema Tanzania wanaingiza expired milk na kusema eti Tz wants to kill Kenyans. The problem mliyonayo ni greedy. Never expect watanzania watawapenda kwa unafiki wenu. Hapo Rais ataongea ila from the bottom wanafanyia kazi kisera nothing will change mkijichanganya tena hao vifaranga watachomwa na mpaka sasa hamuwezi kuingiza uchafu wenu wa bidhaa bongo

Sijui hiki ulichobwabwaja hapa maana hamna taarifa zozote popote zinazohusiana na ulichoandika, ila kwa kifupi hamna siku tumeomba kupendwa na Watanzania, maana dunia ya sasa hamna cha mapenzi wala nini ila maslahi, niuzie nikuuzie basi, sema sasa nyie nafikiri tatizo bado kunao mumelemazwa na ujamaa, mnaingiza hisia kwenye mahusiano ya kibiashara, unatia kiberiti vifaranga 6,400 bora hata mngewapa sumu wafe badala ya kuwatesa.
 
Magufuli anaweza kua hakua sahihi lakini Kenya haijawahi kua na nia njema na Tanzania.

Wajenya wanapuzuia mahindi ya Tanzania kwa kusema yana sumu kuvu, miaka na miaka Watanzania wanapata hasara hilo hamlioni ama mnajiandikia tu kama vile mmeshikwa makalio?

Umewahi ku export chochote kwenda Kenya uone adha unayokutana nayo?

Fuatilia takwimu, kuna Watanzania wengi sana wanauza bidhaa Kenya, kila siku malori yanapita mpakani kuja Kenya, uliza wenzako wanafanyaje kuweza kunufaika na hili soko wacha ukajanja mwingi wa kibongo bongo na kulia lia.
 
Magufuli anaweza kua hakua sahihi lakini Kenya haijawahi kua na nia njema na Tanzania.

Wajenya wanapuzuia mahindi ya Tanzania kwa kusema yana sumu kuvu, miaka na miaka Watanzania wanapata hasara hilo hamlioni ama mnajiandikia tu kama vile mmeshikwa makalio?

Umewahi ku export chochote kwenda Kenya uone adha unayokutana nayo?
Ukimwaga mboga na wao wanamwaga ugali, kulikuwa na ubabe kwahiyo na wao wakawa wanafanya ubabe.
 
Tanzania awamu ya tano ya Magufuli iliwatesa sana watanzania, wanyama, hata viumbe visivyo hai.
Magufuli alikuwa na roho baya sana
 
Magufuli anaweza kuwa hakuwa sahihi lakini Kenya haijawahi kuwa na nia njema na Tanzania.

Wajenya wanapuzuia mahindi ya Tanzania kwa kusema yana sumu kuvu, miaka na miaka Watanzania wanapata hasara hilo hamlioni ama mnajiandikia tu kama vile mmeshikwa makalio?

Umewahi ku export chochote kwenda Kenya uone adha unayokutana nayo?
Rostam mwenyewe kalilalamikia hilo juzi kati, wakenya sio watu wa kucheka nao hata sekunde.
 
Kwenye biashara usiamini yeyote, na ndio maana Tanzania mnaliwa sana, ukiangalia hata matajiri ishirini bora Tanzania wote ni hao Wahindi na Waarabu maana mnaishi kwa kutegemea pumba za kiujamaa na undugu hadi kwenye maslahi ya kibiashara.
Huyo Rostam aje Kenya ashindane na wengine ila asitegemee kudekezwa, sisi hatuna pumba za undugu, ukija pambana kama wengine, waulize Wachagga waliowekeza Kenya, wengi wana biashara za kila aina na wanapiga hela.
 
MK254 na ninyi was it fine to stockpile Tanga Fresh Milk na baadaye kuyatoa yakiwa yame expire na kusema Tanzania wanaingiza expired milk na kusema eti Tz wants to kill Kenyans. The problem mliyonayo ni greedy. Never expect watanzania watawapenda kwa unafiki wenu. Hapo Rais ataongea ila from the bottom wanafanyia kazi kisera nothing will change mkijichanganya tena hao vifaranga watachomwa na mpaka sasa hamuwezi kuingiza uchafu wenu wa bidhaa bongo
Makenya majinga kweli yanataka yaifanye tz kawa sisi ni wajinga, walete bidhaa zao kwetu, walete wafanyakazi na wafungue biashara huku. Ila sisi tukitaka kufanya kwao hawataki, Magu nilimkubali sana alivyowatreat wakenya
 
Ukimwaga mboga na wao wanamwaga ugali, kulikuwa na ubabe kwahiyo na wao wakawa wanafanya ubabe.
Weka kumbukumbu sawa always wao ndio wanaanza sisi tunamaliza, unakumbuka Lesi ya kupiga ban magari ya utalii kuingia Kenya? Kuzuia kampuni ya ndege ambayo ni based tz kuoparate Kenya?
 
Kwenye biashara usiamini yeyote, na ndio maana Tanzania mnaliwa sana, ukiangalia hata matajiri ishirini bora Tanzania wote ni hao Wahindi na Waarabu maana mnaishi kwa kutegemea pumba za kiujamaa na undugu hadi kwenye maslahi ya kibiashara.
Huyo Rostam aje Kenya ashindane na wengine ila asitegemee kudekezwa, sisi hatuna pumba za undugu, ukija pambana kama wengine, waulize Wachagga waliowekeza Kenya, wengi wana biashara za kila aina na wanapiga hela.
We kenge acha uongo rostam alizuiwa hata kupambana, alitakaka atie mtaji mkazuia, all in all Magu aliwafundisha jinsi ya kuishi na majirani
 
Utakua umevimbiwa wewe, huyo mhindi azuiwe ili iweje, mbona wengine hawazuiwi.
 
Back
Top Bottom