Kaizer
Platinum Member
- Sep 16, 2008
- 25,324
- 17,846
Wanatafuta linki mpwa. Subiri utajibiwa usiwe na haraka.
Mi naona tuonane hapo shimo la udongo tuzimue mpwa. Hawa walimu wetu naona wameshindwa kutukonvisi. Leo utakunywa nini mpwa?
haya wajameni someni hapo juu niemwawekea kabisa manake naona ndo tulivozoea hapa! mkimaliza kusoma ndo twende shimo la udongo...ndovu baridi kwangu, baba Askofu yeye divai ya moto ( I love this)