Wanatafuta linki mpwa. Subiri utajibiwa usiwe na haraka.
Mi naona tuonane hapo shimo la udongo tuzimue mpwa. Hawa walimu wetu naona wameshindwa kutukonvisi. Leo utakunywa nini mpwa?
Akibaki baba/Mama na watoto, siku ya mazishi tutatangaza ameacha Mke/Mume na watoto Kadhaa.... lakini akibaki Baba/Mama peke yake tutatangaza ameacha Mke/Mume... then utasikia watu wananong'ona... "hawakuwa na watoto?"
Akibaki baba/Mama na watoto, siku ya mazishi tutatangaza ameacha Mke/Mume na watoto Kadhaa.... lakini akibaki Baba/Mama peke yake tutatangaza ameacha Mke/Mume... then utasikia watu wananong'ona... "hawakuwa na watoto?"
hahahaha hommie nimecheka hapa mbavu sina
On a serious note, ndio maana KIMILA hawaulizi watu tu wa ovyo ovyo na kuna taratibu zake, na actually background checks huwa zimeshafanywa ili kukwepa hayo
Hommie nakwambia kuna ndoa moja naijua 10yrs hakuna hata dalili ya mtoto! wwpte wako frustrated kwa vile kwa upande mmoja, hawawezi kuachana na upande mwingine, kila mtu anawatolea macho! dah
Need we say / ask more?
Senks! taratiibu wanaelewa sasa......π
Safi sana! Sasa jibu swali: Wanaobakia inakuwa si familia tena? Hiyo ndiyo hoja kuu hapo mhashamu!
Kaizer, kuna dada hapa ofcn, ameishi na mwanaume for 5 yrs then wakaoana 2008, kila siku analia kuhusu mtoto, akipitisha siku 2 bila
twende kurasini au break point apo tuwashi supu,naona mjadala utakuwa umeisha sasa....π
Currently Active Users Viewing This Thread: 17 (9 members and 8 guests) Kaizer, Askofu, Brooklyn, Charity, Kimey, Lily Flower, mitimingir
Akibaki Mama/Baba na watoto - tutaita familia ya fulani.... Akibaki Baba/Mama peke yake tunaita Mke/Mume wa fulani
Hahahaha mi 2012 sio 2011 ndo maana sina haraka sihitaji watoto nacho hitaji ni upendo kwa mwanamke.
Charity and Lily Flower...vipi mbona mnatupiga chabo tu wajameni semeni neno!
Homeboi; Mama Matesha akifariki (Mungu apitishe mbali), nakuwa sina familia tena? Hapa ndipo pananitatiza kwa sasa.
Kaizer, kuna dada hapa ofcn, ameishi na mwanaume for 5 yrs then wakaoana 2008, kila siku analia kuhusu mtoto, akipitisha siku 2 bila kuona period anadhani ana mimba anaanza kulamba ndimu, akipata period anaanza kulia... then akasikia kuwa mume wake ana mtoto nje, kidogo afe ofisini... ni shida kweli kwenye jamii yetu nakwambia
halafu kama mimi sina huo uwezo wa kumpa mimba mshiki?........
dah na kweli Mungu apishie mbali AMEN
Hiyo itaitwa CONSANGUINEAL. ni aina ya familia hommie. "A consanguineal family consists of a parent and his or her children, and other people." (emphasis added) ( Source: http://en.wikipedia.org/wiki/Family)
sasa hapo ni notwithstanding the cause of the absence of one of the parents.
sasa twende tukazimu hommie
Homeboi hebu nijibu hapa kabla sijachanganyikiwa zaidi. Geoff na Mshiki wale uliowashuhudia ndoa yao pale Makambako, si familia ile?