SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Yeah unajua watu siku hizi uzungu mwingi wanakuja na uzazi wa mipango sijui nn...lakini enzi hizo watu walikuwa wanadumisha mila kweli. Mi naendeleza hizo mila
swala la watoto linahitaji MAANDALIZI YA ZIADA BANA!...mila dumisha sana lakini watoto ambao unaishia kuwapeleka kwa mama yako/baba yako kijijini akawalee NOOOOO!(huwa tunakosea mara moja tuπŸ˜€πŸ˜€...!ukirudia hilo swala lako!i mean huwezi kuwa na watoto wa nje watatu na kuendelea na hujaoa...)
 
Ndio Fidel

Hongera sana na mm mikakati yangu nikuwa na familia kuuubwa kuanzia 2012 naomba uniombee tu nifanye vizuri upembuzi yakinifu nacho angalia zaidi mm ni upendo sio sura.
 
Hongera sana na mm mikakati yangu nikuwa na familia kuuubwa kuanzia 2012 naomba uniombee tu nifanye vizuri upembuzi yakinifu nacho angalia zaidi mm ni upendo sio sura.

Dah...
 
u r skeptic? LOL

Jamani, hizi kazi zetu bwana... hata kama ni kuombea watu, mtu anaenda kuiba anakwambia naomba uniombee nikaibe salama nisikamatwe... mweh..πŸ˜•
 
You make my day Charity,Mwita ukiwa na maana ni Mapanga kwa kwenda mbele?,teh teh teh teh......

Jirani umepotea alafu umeadimika jioni pitia kwa mama K pale juu utulize koo japo na moja ya bariiiiidi.
 
Jamani, hizi kazi zetu bwana... hata kama ni kuombea watu, mtu anaenda kuiba anakwambia naomba uniombee nikaibe salama nisikamatwe... mweh..πŸ˜•

haaa ndo sehemu ya upembuzi wenyewe yakinifu lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…