SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

Yeah unajua watu siku hizi uzungu mwingi wanakuja na uzazi wa mipango sijui nn...lakini enzi hizo watu walikuwa wanadumisha mila kweli. Mi naendeleza hizo mila
swala la watoto linahitaji MAANDALIZI YA ZIADA BANA!...mila dumisha sana lakini watoto ambao unaishia kuwapeleka kwa mama yako/baba yako kijijini akawalee NOOOOO!(huwa tunakosea mara moja tu😀😀...!ukirudia hilo swala lako!i mean huwezi kuwa na watoto wa nje watatu na kuendelea na hujaoa...)
 
Ndio Fidel

Hongera sana na mm mikakati yangu nikuwa na familia kuuubwa kuanzia 2012 naomba uniombee tu nifanye vizuri upembuzi yakinifu nacho angalia zaidi mm ni upendo sio sura.
 
Hongera sana na mm mikakati yangu nikuwa na familia kuuubwa kuanzia 2012 naomba uniombee tu nifanye vizuri upembuzi yakinifu nacho angalia zaidi mm ni upendo sio sura.

Dah...
 
Jamani, hizi kazi zetu bwana... hata kama ni kuombea watu, mtu anaenda kuiba anakwambia naomba uniombee nikaibe salama nisikamatwe... mweh..😕

haaa ndo sehemu ya upembuzi wenyewe yakinifu lol
 
Back
Top Bottom