Askofu
JF-Expert Member
- Feb 14, 2009
- 1,664
- 87
Baba Askofu unafamilia?
Ndio Fidel
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Baba Askofu unafamilia?
Is there any difference btn babies and children?[/QUOTE]
Kaka fafanua kwa kiswahili, maana ndio somo niliyo pata the highest marks O - level.
swala la watoto linahitaji MAANDALIZI YA ZIADA BANA!...mila dumisha sana lakini watoto ambao unaishia kuwapeleka kwa mama yako/baba yako kijijini akawalee NOOOOO!(huwa tunakosea mara moja tu😀😀...!ukirudia hilo swala lako!i mean huwezi kuwa na watoto wa nje watatu na kuendelea na hujaoa...)Yeah unajua watu siku hizi uzungu mwingi wanakuja na uzazi wa mipango sijui nn...lakini enzi hizo watu walikuwa wanadumisha mila kweli. Mi naendeleza hizo mila
Ndio Fidel
Hongera sana na mm mikakati yangu nikuwa na familia kuuubwa kuanzia 2012 naomba uniombee tu nifanye vizuri upembuzi yakinifu nacho angalia zaidi mm ni upendo sio sura.
Dah...
Afu wewe! ole wako unitende,nitakusemelea kwa my Dady Mwita.
u r skeptic? LOL
You make my day Charity,Mwita ukiwa na maana ni Mapanga kwa kwenda mbele?,teh teh teh teh......
Jamani, hizi kazi zetu bwana... hata kama ni kuombea watu, mtu anaenda kuiba anakwambia naomba uniombee nikaibe salama nisikamatwe... mweh..😕
labda uwe hufanyi kazi kwa mkoloni!....:d
😀😀😀Currently Active Users Viewing This Thread: 13 (6 members and 7 guests) Geoff*, Ayayoru, Kijunjwe, mitimingir, Nyasirori, Sugar wa Ukweli
yaani..apo umemwona mpopo?
ha ha ha mkuu kazi kweli ipo!! tutaona mengi hapa JF😀😀😀
jeiefu imefika kusikofikika