Alamba alamba aaaam ammmm!
Baridiii baridiiiiii
hahaaaaa his favorite hiyo hapooooooooo
tena ngoja nimtokeee huyu naona mzaha umezidi ujue...
Homeboy unaanza kuchafua mazingira hapo! BTW Edson kashakupa zile namba? LOL!
Hahaha! Umenikumbusha kitonga. Pale ilipigwa rozari fungu moja matendo ya utukufu! Ule mlori LHD!aisee bado maslahi yakizingatiwa tunapanda nyagawa tunazifata tu! dah
Hahaha! Ukiibuka nawahi kwa Lambertini!
Hahaha! Umenikumbusha kitonga. Pale ilipigwa rozari fungu moja matendo ya utukufu! Ule mlori LHD!
mi nakuwaga na kipindi cha bible study saa hizi kule kwa Maxshimba... nachelewa ila karibuni na nyie pianadhani iwepo sheria hayo ma LHD yasiruhusiwe huku nchini
lakini vita ni vita tu
hahaaa huko sifiki ni kituo cha polisi mdoriii (labda niibie kama jamaa hayupo)
mi nakuwaga na kipindi cha bible study saa hizi kule kwa Maxshimba... nachelewa ila karibuni na nyie pia
Hahaha! Kule kama hujui kumtukana Yesu, Mohammad na Allah usithubutu kuingia kule!
mi nakuwaga na kipindi cha bible study saa hizi kule kwa Maxshimba... nachelewa ila karibuni na nyie pia
haaaa B mi nikidhani waipenda afya yangu! stress za nini na za hapa tu za simu sijui na nini zantoshga! ahπ
siendi kwa afya yako!!!
kwanza leo ile mada ya MJ1 wako imenichosha kichwa yangu..........
...Geoff,
Hongera tena kwa kuamua wewe mwenyewe Kufunga pingu ya maisha bila kulazimishwa au kushurutishwa.
Ukiwa ni mchangiaji mahiri kwenye jukwaa hili, Kama hutojali, naomba ikiwezekana uje uanzishe thread yako hapa 'maisha yangu' siku 100 tangu nifunge ndoa.
Karibu tena kwenye chama cha waliooa/walioolewa.
Mw'Mungu awazidishie.
mkulu kwa hesabu za haraka haraka za makisio itakuwa tarehe 24/5 mwaka huu!
(Mbona hujamwombea na vikid bana?)
B hapo nimesoma sana au kijuu juu! usiende kabisa B yaani! umekosa nini jamani kujipa presha nawe mdogo ivo
ombi limekubaliwa mkuu...!do that for all of us...Geoff,