SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

hahaaaaa his favorite hiyo hapooooooooo

Hahaha! Utamfanya aende kwa ankal au MidTown Hall au Cape town. Huko ndiko anaisahau ndovu kwa ajili ya alamba! alamba! Aaaaam ammmmm!
 
aisee bado maslahi yakizingatiwa tunapanda nyagawa tunazifata tu! dah
Hahaha! Umenikumbusha kitonga. Pale ilipigwa rozari fungu moja matendo ya utukufu! Ule mlori LHD!
 
nadhani iwepo sheria hayo ma LHD yasiruhusiwe huku nchini

lakini vita ni vita tu
 
mi nakuwaga na kipindi cha bible study saa hizi kule kwa Maxshimba... nachelewa ila karibuni na nyie pia
 
Hahaha! Kule kama hujui kumtukana Yesu, Mohammad na Allah usithubutu kuingia kule!
 
haaaaaaaaaa mi bwana sitaki kutukanana, mi nakuwa mpatanishi tu basi..............jukwaa hatarishi lile
 
mi nakuwaga na kipindi cha bible study saa hizi kule kwa Maxshimba... nachelewa ila karibuni na nyie pia

haaaa B mi nikidhani waipenda afya yangu! stress za nini na za hapa tu za simu sijui na nini zantoshga! ah😀
 
siendi kwa afya yako!!!
kwanza leo ile mada ya MJ1 wako imenichosha kichwa yangu..........
 
...Geoff,

Hongera tena kwa kuamua wewe mwenyewe Kufunga pingu ya maisha bila kulazimishwa au kushurutishwa.

Ukiwa ni mchangiaji mahiri kwenye jukwaa hili, Kama hutojali, naomba ikiwezekana uje uanzishe thread yako hapa 'maisha yangu' siku 100 tangu nifunge ndoa.

Karibu tena kwenye chama cha waliooa/walioolewa.
Mw'Mungu awazidishie.
 
B hapo nimesoma sana au kijuu juu! usiende kabisa B yaani! umekosa nini jamani kujipa presha nawe mdogo ivo
 
mkulu kwa hesabu za haraka haraka za makisio itakuwa tarehe 24/5 mwaka huu!

(Mbona hujamwombea na vikid bana?)
 
...😀 ndio maana nikasema 'azidishiwe,' ...humo kuna kila kitu, Utajiri wa mali, hekima na busara, watoto wema, nk nk...

Naiweka 24th/May katika Diary,...utanisaidia kumkumbusha Iwapo atakubali hili Ombi langu ili wasiooa nao washawishike.
 
B hapo nimesoma sana au kijuu juu! usiende kabisa B yaani! umekosa nini jamani kujipa presha nawe mdogo ivo

deep kabisa sio kijuu juu!!!
aaaaah kule sendi tena mbona....kwa ajili ya afya yako!!!
 
...Geoff,

Hongera tena kwa kuamua wewe mwenyewe Kufunga pingu ya maisha bila kulazimishwa au kushurutishwa.

Ukiwa ni mchangiaji mahiri kwenye jukwaa hili, Kama hutojali, naomba ikiwezekana uje uanzishe thread yako hapa 'maisha yangu' siku 100 tangu nifunge ndoa.

Karibu tena kwenye chama cha waliooa/walioolewa.
Mw'Mungu awazidishie.
ombi limekubaliwa mkuu...!do that for all of us
 
Back
Top Bottom