SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

SHUKRANI!.....thank you JAMIIFORUMS

kwa usalama wako tutakwenda wote...just for your protection not otherwise oooo

Hahaha! Mamushka and her Pako to Makambako with Love! Ila upunguze unoko nawee!
 
.....He!he!he!he! mngeenda pale Saratoga au Unyamule mngeyapata mengi sana ya aina hiyo........!

Tatizo tulikuwa bize tunamfanyia ulinzi homeboi wako asihamishie mapenzi kwenye valuu zaidi ya waifu. Si unajua kijana amezaliwa kwa ajili ya kunywa valuu?
 
Kiongozi acha kabisa! mambo ya usangule! durban! midtown, cape town! stendi! dah...
 
hahaha! Mamushka and her pako to makambako with love! Ila upunguze unoko nawee!

unoko hapa 'given' kupunguza haipo hiyo
labda tubadilishe formula kabisa which i don see that happening....
 
Ngoja nikutafutie mjukuu labda utakuwa bize unalea!
 
unoko hapa 'given' kupunguza haipo hiyo
labda tubadilishe formula kabisa which i don see that happening....

B wa ukweli itakuwa formula au role kabisa?🙄 hehehe make sure tuko duly informed😀
 
haibadiliki role wala formula B wa ukweli, huyu mjanja sana eti anajifanya anataka kurudi makambako.....kwa usalama wake ntaenda nae tu basi....
 
B wa ukweli itakuwa formula au role kabisa?🙄 hehehe make sure tuko duly informed😀

Homeboy unaanza kuchafua mazingira hapo! BTW Edson kashakupa zile namba? LOL!
 
Tatizo tulikuwa bize tunamfanyia ulinzi homeboi wako asihamishie mapenzi kwenye valuu zaidi ya waifu. Si unajua kijana amezaliwa kwa ajili ya kunywa valuu?

.....He!he!he!......homu boi anadumisha mila....kule ss ni ulanzi na ''kipozeo'' tu........!

Kiongozi acha kabisa! mambo ya usangule! durban! midtown, cape town! stendi! dah...

......missed it ......aaaaaarrrrggg!
 
Back
Top Bottom