Shukrani za Jamal Emil Malinzi kwa wana JF

Le Mutuz...hizi ni salam za thread yako ya majuzi ukitetea ule ukoo wenu wa panya......wamewavua nguo TFF wanawafuata kule kwa "kijani" sasa!
 
Lengo halisi la kugombea Urais TFF wewe wenyewe ndiyo unalijua moyoni.
Angalizo:
1. Tumikia Taifa usileta uyanga kweny kuongoza TFF.
2. Timiza ahadi ulizo ahadi
3. Usilete ubaguzi wa aina yoyote
4. Pambana wa 'wapigaji'
kwi! Kwi! Kwi!
 
tunakutakia mafanikio mema, uyanga wako weka pembeni..
mkuu Crashwise, kama ulivosema kwenye ule uzi mwingine, jf sasa inajivunia kuwa na member aliyechaguliwa moja kwa moja kushika nafasi ya juu na kampeini zake kwa kiasi fulani zikiwa zimepitia hapa hapa jamvini.
 
Vp uchaguz ulikuwa huru na wa haki? ??If so,kwanini mliwatoa wahandishi wa habari nje? ?
'Wahandisi' au WAANDISHI wa habari. Kuna tofauti kubwa hapo kaka. Yote kwa yote umeeleweka vema ulichokusudia kutueleza.
 
hongera raisi wa tff,wewe nikipenzi chawapenda soka tanzania.wamekuamini tumekuamini.fanya kazi iliyo safi.mwenyezi mungu awape afya njema ili mtekeleze mliyo ahidi.

Msiwe kama vyama vya siasa vyatanzania.
 
[h=5]Change WE CAN, Jana Rais Mpya alianza kwa kuvunja kamati zote..... yaani sasa kamati zitaundwa upya, Pili ametoa msamaha kwa wafungwa wote isipokuwa wale tuu wenye makosa ya rushwa na kupanga matokeo
CHANGE @ TFF is on the Corner
TUST WE CAN
[/h]
 
Mkuu ungetufafanulia ni ni adhabu gani zilizotolewa msamaha, isije kuwa siasa zinahamia kwenye mpira.!!!
 
Muda si mrefu mtaanza kujuta kwani huyu ni mfanyabiashara anakwenda kurudisha fedha aliyowahonga nyie mburula!!!
 
Hongera poti, tupeleke kombe la dunia, ligi ya kulipwa, vunja mkataba na Azam Tv au auboreshe upya, akikisha kila club inaimarisha academy zao,anzisha chombo cha kuwaukumu marefa chenye marefa wastaafu,na marefa walipwe vzr na kabla ya mechi, akikisha kila club inakuwa na uwanja wake binafsi.

Nakutakia kazi njema poti

Cc Jamal Malinzi
 
Last edited by a moderator:
Hongera sana manfesto yenu mjaribu kuyatimiza.
Zawadi kubwa ninayotarajia ni Kuiona Taifa stars wakicheza kombe la Africa na la Dunia kwa maandalizi yako mazuri 2018

Mkuu Taifa Stars kushiriki CAN kwanza iwe ni priority nambari one. Then tukifanikiwa hapo ndo tuanze mikakati ya WC. Wenzetu walipitia hatua hiyo. ALL IN ALL CONGRATULATIONS NDUGU J MALINZI AND WE EXPECT MORE FROM YOU AND YOUR ENTIRE TEAM TO MOVE FORWARD OUR SOCCER.
 
HONGERA kwanza kwa huo ushindi mnono;
tendea kazi mapungufu uliyoyapigania; panga safu nzuri ya watendaji ikiwezekana usimsahau wambura kwani ana ufahamu mzuri tu wa soka letu tz!
 
Hongera sana mkuu, pole kwa majukumu ya kampeni. Chonde tuletee maendelea ya soka Tanzania, japo wewe ni mnazi wa Yanga ila jaribu kubalance mambo kwa maendeleo ya soka la nchi yetu. Hongera kanda ya ziwa kutoa kibopa wa TFF, turejeshee Pamba mkuu. Mungu akutangulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…