Mbwiga_Plus
Senior Member
- Jan 5, 2011
- 163
- 42
Mkuu,
Noted, na hongera sana!
Noted, na hongera sana!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hongera sana japo sikuwa nakuunga mkono, lakini sasa wewe ndio rais wetu tuko pamoja.
hongera sana tunategemea mengi mazuri kutoka kwako ili soka letu lisonge mbeleNdugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
ni kweli kabisa ndugu yangu tumechoka sana kuwa wasindikizaji tuuuuuuu miaka nenda miaka rudi sasa hebu huyu memba mwenzetu alifanyie kazi swala hiliHongera Jamal Malinzi na tunasubiri kwanza huo uzi wako tujue tunajipangaje na tunaomba vile vile uwe unatembelea humu mara kwa mara kutupa mrejesho wa yale utakayoulizwa
naunganga na gfsonwin katika kusubiri utupe mikakati uliyo nayo haswa kwa vilabu vyetu na timu ya taifa tuache kuwa wasindikizaji kila mashindano na tuone tunavuka kwenda hatua za fainali tuache kuishia huku chini kila mashindano
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yeTu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
Hongera sana japo sikuwa nakuunga mkono, lakini sasa wewe ndio rais wetu tuko pamoja.