evangelical
JF-Expert Member
- Nov 21, 2011
- 5,035
- 8,218
Hongera sana kwa ushindi, fahamu kwamba cheo ni dhamana, ukifanya vizuri utapongezwa na kuchaguliwa tena kuongoza kwa mujibu wa katiba,
Fanya yote mazuri kuhakikisha taifa stars inashiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2018 huko Urussi
Fanya yote mazuri kuhakikisha taifa stars inashiriki fainali za kombe la dunia mwaka 2018 huko Urussi