mwananthropolojia
JF-Expert Member
- Oct 6, 2012
- 956
- 657
Hongera na tupo pamoja
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jamal Malinzi,
Mheshimiwa rais ulituahidi baada ya kuchaguliwa ungekuja kuomba maoni/michango mbalimbali jinsi ya kuimarisha timu yetu ya taifa,naona baada ya kushinda urais umetukimbia kabisa hapa jukwaani wakati unaomba kura tulikupigia kampeni
Jiamini,tukuamini
Hongera sana kuwa Rais wa TFF
usipageuze pango la wanyang'anyi.
Lengo halisi la kugombea Urais TFF wewe wenyewe ndiyo unalijua moyoni.
Angalizo:
1. Tumikia Taifa usileta uyanga kweny kuongoza TFF.
2. Timiza ahadi ulizo ahadi
3. Usilete ubaguzi wa aina yoyote
4. Pambana wa 'wapigaji'
Ndugu zangu nashukuru uchaguzi tumemaliza salama na mimi nimeshinda. Nichukue fursa hii kuwashukuru wapenzi na wadau wote wa mpira miguu ambao kwa namna moja au nyingine wameshiriki kwenye mchakato.
Siku chache zijazo nitafungua thread hapa nikiomba maoni na mapendekezo yenu kuhusu ni jinsi gani tutaimarisha timu yetu ya Taifa kwa ajili ya AFCON qualifiers Novemba mwaka ujao.
Tafadhali jiandae kuchangia.
Malinzi
hahahaha malinzi bana....ndo tujifunze mtu anayependwa na wengi sio kiongozi bora
leo mnamkumbuka tenga.safi yule mnyaa sijui mnyela imekula kwao na tenga wake, afichue ufisadi wote wa tff
tunategemea meng mazur..hongera na kazi njema
Muda si mrefu mtaanza kujuta kwani huyu ni mfanyabiashara anakwenda kurudisha fedha aliyowahonga nyie mburula!!!
Huyu anajaza wahaya wenzie pale tff mpaka nasikia kutapika
Da jamali malinzi bana
inasemekana umetujaza sisi wahaya TFF sasa nakuomba utuondoe haraka maana ni aibu kwa sisi wahaya..kisha na wewe utoke