Shukrani za Jamal Emil Malinzi kwa wana JF

Jamal Malinzi,

Mheshimiwa rais ulituahidi baada ya kuchaguliwa ungekuja kuomba maoni/michango mbalimbali jinsi ya kuimarisha timu yetu ya taifa,naona baada ya kushinda urais umetukimbia kabisa hapa jukwaani wakati unaomba kura tulikupigia kampeni
 
Last edited by a moderator:

Hawezi kurudi jukwaani tena, lengo lake limetimia, arudi hapa kufanya nini? Mkuu Jamal Malinzi endelea kula nchi, urais hauna ubia!
 
Last edited by a moderator:
Huyu anajaza wahaya wenzie pale tff mpaka nasikia kutapika
 
Lengo halisi la kugombea Urais TFF wewe wenyewe ndiyo unalijua moyoni.
Angalizo:
1. Tumikia Taifa usileta uyanga kweny kuongoza TFF.
2. Timiza ahadi ulizo ahadi
3. Usilete ubaguzi wa aina yoyote
4. Pambana wa 'wapigaji'

Huyu naona kaleta kujuana aisee
 
Mbona kimya mkuu
 
Da jamali malinzi bana
inasemekana umetujaza sisi wahaya TFF sasa nakuomba utuondoe haraka maana ni aibu kwa sisi wahaya..kisha na wewe utoke
 
Da jamali malinzi bana
inasemekana umetujaza sisi wahaya TFF sasa nakuomba utuondoe haraka maana ni aibu kwa sisi wahaya..kisha na wewe utoke

Nasikia kesho J3 anaaga rasmi,ashaandaa waraka wa kuachia ngazi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…