shukrani

shukrani

Dah! Mzee kweli sikuwezi, yaani unajua sana kupata ''maximum satisfaction'' ukiwa baa! Ukaa kaunta kwa malengo maalumu! Unanidai bia kadhaa mpaka sasa hivi! 🙂

Na kawaida yangu mi nikiahidiwa huwa nadai vibaya! Hahaha! Bia kadhaa kwa sisi waungwana inamaanisha si chini ya tano, siyo?
 
Ni idadi yoyote kuanzia bia 2 na kuendelea............!!! 🙂
 
Jamani napenda kuwashukuru sana tena sana wale woooooooooooooote tuliokutana fraideiiiiiiiiiiii,ilikuwa pouwa kufahamiana na kubadilishana mawazo mazuriiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii,yale malengo plz tuyatimize si mnakumbuka ziz wiki kukutana kwenye kujiwe chetu kupya?sasa je kuna yoyote alie mkontact Mwanakijiji ili tujue tunakabizi vipi mchango wetu?ntakula hela mm shauri zenu

Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99
 
Ni idadi yoyote kuanzia bia 2 na kuendelea............!!! 🙂

dah! Mzee unabana! mbili na kuendelea that means hata tatu siyo? LOL! From Boko to wapi sijui with Love for three bottles of cold beer? Nah!
 
Asante sana kwa hapa nina laki moja cash ,ila kuna watu wamepromiss kunipa so tumewapa mpaka friday ili tukabidhi so by friday nadhani itakuwa siku muafaka kuwatafuta hawa watu,thx for evything and we willl possibly communicate with them,Tuko pamoja,Gud dei
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99
 
tena hiyo office ni karibu haswa na office yangu will do that by these wiki
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99
 
jamani ,bujibuji,masaki,jenny,baba enock,drphone,gkundi,mmeona hii?so tunafanyaje?tukubaliane tutaenda kukabidhi lini na tunakutana wapi?it has tu be before saturday maana jmosi tuna ile safari au mnasemaje?nasubiri maoni yenu
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99
 
dah! Mzee unabana! mbili na kuendelea that means hata tatu siyo? LOL! From Boko to wapi sijui with Love for three bottles of cold beer? Nah!

Unajuaje kwamba hizo bia sikupei huko huko Boko? Halafu, bia moja huanzisha nyingine! Halafu mkuu bia huwa haikataliwi kwa mujibu wa sheria za baa!!! 🙂
 
jamani ,bujibuji,masaki,jenny,baba enock,drphone,gkundi,mmeona hii?so tunafanyaje?tukubaliane tutaenda kukabidhi lini na tunakutana wapi?it has tu be before saturday maana jmosi tuna ile safari au mnasemaje?nasubiri maoni yenu
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99

Ushari wangu mjadala uendelee na michango pia mpaka Alhamisi, kisha Ijumaa tukaiwakilishe!
 
Unajuaje kwamba hizo bia sikupei huko huko Boko? Halafu, bia moja huanzisha nyingine! Halafu mkuu bia huwa haikataliwi kwa mujibu wa sheria za baa!!! 🙂

Hahaha! Ukinipea Boko, kila bia utakayoninunulia utazawadiwa ahsante ya bia mbili! You are welcome pal. Feel at home!
 
jamani ,bujibuji,masaki,jenny,baba enock,drphone,gkundi,mmeona hii?so tunafanyaje?tukubaliane tutaenda kukabidhi lini na tunakutana wapi?it has tu be before saturday maana jmosi tuna ile safari au mnasemaje?nasubiri maoni yenu
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99

@pearl
inabidi tukutane ili tupange tunapeleka lini aziwezi kupelekwa kmya kmya hizo ni pesa za wanajamii .
alafu umesema jmosi kunasafari gani tena?
 
Yeah na Michuzi nae itabidi awepo afotoe na kutundika kwenye global yake.
 
...........!😀

Nimekutana na mzee wa Tikiti anataka kufungua kanisa Kiluvya nimemwambia asinisahau
icon10.gif
 
Nawashukuru wote hapo naaga Zenj kwa pembeni niko na tunda wangu Mzeenj

7589d1263813857-shukrani-masa-n-mzenj.jpg
 
Nawashukuru wote hapo naaga Zenj kwa pembeni niko na tunda wangu Mzeenj
at laaaaaaaast DUDE ndani ya nyumba!
leo ulizitupa nyavu pande za mbali sana maanake ndo unarudi
 
Back
Top Bottom