shukrani

shukrani

at laaaaaaaast DUDE ndani ya nyumba!
leo ulizitupa nyavu pande za mbali sana maanake ndo unarudi

Wapwa bado mpo Mzalendo pub? hahahahaahh Fidel alikuwa kama kazima hivi
 
Asante sana kwa hapa nina laki moja cash ,ila kuna watu wamepromiss kunipa so tumewapa mpaka friday ili tukabidhi so by friday nadhani itakuwa siku muafaka kuwatafuta hawa watu,thx for evything and we willl possibly communicate with them,Tuko pamoja,Gud dei

Asante sana mzalendo.

Pamoja Tunaweza!
 
jamani ,bujibuji,masaki,jenny,baba enock,drphone,gkundi,mmeona hii?so tunafanyaje?tukubaliane tutaenda kukabidhi lini na tunakutana wapi?it has tu be before saturday maana jmosi tuna ile safari au mnasemaje?nasubiri maoni yenu
Mzalendo Pearl;

Kama uko Tanzania na hasa Dar Es Salaam; unaweza kuwakilisha michango yako kwa Maxence wa JF: 0713 444 649; Au Issa Michuzi: 0754 271 266 au kwa Emmanuel Mmari wa TPN: Contacts:

1. Number: 0715 740 047
2. Ofisi za TPN: Barabara ya Nyerere; Jengo la TOHS; Ghorofa ya kwanza,
karibu na TBC (RTD)
3. Vodacom: 0768 777 888
4. Zantel: 0773 88 18 88
5. Zain: 0784 00 88 99

Kiutendaji tulikubaliana kuwa michango yote iwe inawakilishwa kila wiki. Wiki hii tungependa pia kuiwakilisha siku ya Ijumaa.

Hii ni kwa taarifa tu.

Pamoja Tunaweza!
 
ok basi tutawasiliana hiyo ijumaa
Kiutendaji tulikubaliana kuwa michango yote iwe inawakilishwa kila wiki. Wiki hii tungependa pia kuiwakilisha siku ya Ijumaa.

Hii ni kwa taarifa tu.

Pamoja Tunaweza!
 
Daaaah jana nilitumbukia kny dumu la Tusker.....so sijui kama niliipokea mzee.......! Vipi mewasilianana Pearl?
yaah!tunaendelea kuzipitia terms and conditions tuone kama tunaweza fanya kazi
 
Back
Top Bottom