Street brain
JF-Expert Member
- Oct 24, 2022
- 584
- 767
- Thread starter
- #41
Wakisemwa ndiyo watajirekebisha udhaifu wao.Unaonekana ukisemwa kidogo utajinyonga wewe!
NB:Nawapenda walimu wote.Mama yangu alikuwa mwalimu na hata dada yangu na
Nadhani ni bora ureview post tu maana lugha iliyotumika ni fasaha kabisaUlikusudia nini