Wakisemwa ndiyo watajirekebisha udhaifu wao.Unaonekana ukisemwa kidogo utajinyonga wewe!
NB:Nawapenda walimu wote.Mama yangu alikuwa mwalimu na hata dada yangu na
Inawezekanaje mwalimu awe hajielewi halafu wewe uliye fundishwa nae uwe unajielewa huoni kama unajitukana mwenyewe au we mwenzetu ulizaliwa unajua kusoma na kuandika.