mapambanodaima
Senior Member
- Oct 22, 2012
- 108
- 15
Nilikuwa nikivutika sana na mawazo pamoja na mitazamo ya wadau kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa pamoja na ya kijamii,hivyo nikaona ni vyema nami niwe miongoni mwa watu wanaotoa elimu kwa jamii. ninashukuru sana kuipa nafasi hii ya kuelimisha Taifa kwa kutumia mtandao huu wa kijamii.