shukurani za kipekee

shukurani za kipekee

mapambanodaima

Senior Member
Joined
Oct 22, 2012
Posts
108
Reaction score
15
Nilikuwa nikivutika sana na mawazo pamoja na mitazamo ya wadau kuhusu mambo mbalimbali ya kisiasa pamoja na ya kijamii,hivyo nikaona ni vyema nami niwe miongoni mwa watu wanaotoa elimu kwa jamii. ninashukuru sana kuipa nafasi hii ya kuelimisha Taifa kwa kutumia mtandao huu wa kijamii.
 
Unataka kumuelimisha nani weye? Mtandao huu umejaa critical thinkers,kama unataka kuelimisha sio mahala pake hapa!
 
Back
Top Bottom