sifi leo
JF-Expert Member
- Mar 30, 2012
- 5,182
- 8,948
Ninaweza nisieleweke, ila kimsingi tangu Mh. Polepole ateuliwe na aripoti ubalozini nchini Malawi Kuna jinsi anacheka kwa kweli, mpaka ukimwona kwenye picha unashindwa kuelewa mbona anacheka kicheko cha hela yote?
Saa nyingine picha anazotupia kwenye mtandao hazioneshi content ya kumfanya acheke, lakini yeye anakuwa amekenua mpaka jino la mwisho linaonekana.
Sasa nataka kujua, hilo ndiyo somo ambalo Samia Suluhu Hassani alilazimika kutuongezea tozo Ili tumpeleke Balozi shule ajifunze?
Yaani yeye akikutana na mtu anacheka, amekuwa kama wanafunzi wa jinsia ya kike wanaoishi boarding wafungiwao muda mrefu pasipo kulishwa mafuta ya taa kwenye maharage.