elimu na ibada vinaenda pamoja,ndio maana shule za seminari zinafanya vizuri kwa kua wana abudu kwa sana!sasa vijana wa kiislam kama hawana mahali pa kuabudia itakuajee? Watakua wavuta bangi na elimu
Labda ni Jk, maana ndiye gwiji la udini TanzaniaNi kama kuna m2 anaengineer hii kitu,maana wanadai wana mfadhili wa kujenga tayari
Sure!
Haya mambo ya aibu hivi yamezaliwa lini?
Kudai uswa ni jambo la muhimu sana.
hawana akili hawa wala ubwabwa wao kila kitu wanalalamika,mbona rais wa nchi muislam,makamu wake muislam,IGP muislam,waziri wa fedha muislam...hakuna mkristo anayelalamika...hawa jamaa ni vilaza zsana..damnKutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.
Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.
Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
Sarakasi zingine hizo za udini tutafikia wapi???????? Hakuna kiongozi wa kukemea huo uozo wa fikra potofu!!! Watanzania turudi kuishi kwa uzuri kama zamani???????Kutoka mkoani Mtwara wilayani Masasi taarifa za hivi punde zimemkariri mkuu wa sekondari ya Ndanda (aliwahi kusoma rais Benjamin Mkapa) akifunga shule hiyo kutokana na mgogoro wa kidini.
Sababu ambayo tumefanikiwa kuinasa ni kuwa eti waislamu wa shule hiyo hawajafurahishwa na kitendo cha Kaka mkuu na msaidizi wake wote kuwa wakristu( haijajulikana kama wamechaguliwa au kuteuliwa). Hili ni jaribio lingine la utangamano na amani ya taifa hili.
Kikwete (unatuhumiwa kupandikiza udini) upo hapo? Haya TBC watalificha na hili leo?
Naamini ni ya serikali, ni kati ya shule kongwe kabisa nchini, jamii ya Ilboru, Mazengo, Kilakala etc! aidha nadhani ilikuwa ya kanisa na ilitaifishwa enzi za Siasa NI kILIMO!
Mara hii umeipata, ahsante saana Mkuu, lakini haiwezekani kurudisha ile roho ya upendo tuliyonayo Watanzania kwa vijana wetu????? Hasa huko kwenye mashule, taasisi mbali mbali kama mkakati wa kujenga taifa lenye upendo, tukisema UDINI ni mwiko!!!! Maana tunapoelekea ni kubaya!!!!!!!!!
Kikwete anatakiwa auliwe kabisa na atupwe baharini mana ndiyo source ya udini.