Shule aliyosoma Mkapa yafungwa kwasababu ya udini (waislam vs wakristu) ni kasheshe!

Status
Not open for further replies.

Chumba cha kudumu hapo shuleni wanacho mbona pale kuna dhana fulani ya waislamu kuwa watawala wa kila kitu hicho kinachowafanya wakurupuke na kuona wanadai madai ya msingi kumbe Pumba tupu.
 
Mi nadhani tusifikirie vibaya, nadhani ni kuwa pale shule kuna vijana wa Kiislam, sasa wao wakaswali wapi jamani? Kuna ubaya gani kuomba watengewe sehemu ya kufanyia ibada. Tusilichulie hili swala ki udini udini tu...

Lazima kuna mahali wamepewa pa kuabudia kwani ni haki ya kila mtu kuabudu kulingana na Imani yake. Kwa mfano pale Tosamaganga wanafunzi wa kiislam wamepewa chumba na wanaswali hapo wale wa protestant(Lutherani, TAG, Agape NK ) wamepewa chumba pia na wameweka ratiba na kupeana ratiba ya matumizi ya chumba hicho then wao RC wanatumia kanisa lililopo nje ya eneo ambalo shule ilipewa. Sasa ni vema wakalizika na hiyo sehemu ya kuabudia waliopewa ila kama hawakupewa hapo ndo waombe uongozi wa shule uwaandalie hiyo sehemu. Wasijihusishe na ujenzi.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…