Shule binafsi zaanza kukusanya Ada Kidato cha Kwanza 2025

and 300

JF-Expert Member
Joined
Jun 27, 2012
Posts
26,398
Reaction score
36,406
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
 
Ni sawa, hata bima ya kifo unalipa kabla hujafa. Tena naunga mkono maana hilo n swala kupunguza shiida za kukimbizana na ada january. Ukiwa wajitambua zaid hata unaweza lipa ada ya mwaka mzima mapema.
 
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
Hujalazimishwa....kama huwezi subiri 70k kayumba maisha yaendeeee....
 
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
Maskini mna shida sana aisee kwenye akili zenu.
 
We shida yako nini kwani. Umefatwa nyumbani na kiboko utoe hiyo ada?

Au uliwaambia unataka kumpeleka mtoto wako hapo mwakani? Kama uliwambia unakimbia nini sasa kulipa
 
Ni sawa tu. Sbb wanakusaidia wewe pia.
Kama una mpango wa kumuhamisha sawa, ila km anaendelea hapo sioni shida.

Usipende kulimbikiza mambo January
 
Kwani mnalazimishwa kulipa? Si mnalipa kwa hiyari yenu tu.....ila hatutaki kelele baadaye
 
Kwanza wengine hatuja maliza hata kulipia nusu ada na hatusumbuliwi mazeee
 
Ikiwa bado hata nusu mwaka wa kalenda 2024 hatujafika na Hata darasa la 7 hawajafanya mitihani. Tayari shule kadhaa binafsi zimeanza kukusanya Ada kwa ajili ya wanafunzi wa Kidato cha 1 mwakani (2025). Hii si sawa.
Wanafanya vizuri maana wanajua mwanzoni mwa mwaka upatikanaji wa hiyo ada ni mgumu km unauwezo lipa na kutunza stakabadhi nakuwakumbusha wasiwasimbue mwanzoni mwa mwaka eti hamjalipa ada
 
Shule za serikali zilivyochabangwa chabangwa. Eti anayesoma Benjamin Mkapa si sawa na anayesoma Uhuru mchanganyiko.

Nchi hii imeharibiwa mno
 
Back
Top Bottom