Shule Binafsi ziheshimu likizo za watoto wetu

Hata Mimi najua iko hivyo.
Wanafunzi kutokwenda likizo lipo pia katika shule za serikali.
 
Mbona miaka ya nyuma enzi zetu kulikuwa hamna uho ujinga na wanafunzi walikuwa wanafaulu vizuri tu.

Umeona eh yaani mie uniform na begi nilikuwa natafuta jumamosi jumatatu shule tena unaambiwa shauri yako jumatatu shule. Yaani likizo inakuwa likizo kweli.
 
Likizo je!? Siyo haki ya Mtoto!? Mbona hata wafanyakazi wanapewa likizo!? Usijibu Kama Mwalimu wa Mwendokasi,jifunze kujenga hoja!!
kwanza wewe sio mzazi!
ungekuwa mzazi uone maumivu wanayoyapitia wazazi wanaogharamia elimu za watoto wao then wanaishia kufeli vibaya usingenibishia hata kidogo
 
Kwani wanakulazimisha,unahiari ya kumkataza mwanao, ila nikukumbushe tu, kuna kamsemo ka wahenga kuwa kama elimu ni ghali jaribu ujinga. Kwa nyoongeza kuna mhenga alienda mbali zaidi akauandalia wimbo msemo huo wa mhenga.
Akili yako haiko sawa mkuu tatizo sio elimu inabidi kipindi cha likizo apumzike ndio maana hata kazi zina likizo vyuo vina likizo kupumzike ni sehemu ya kufanya ubongo upumzike na ulishe vitu vipya
 
Akili yako haiko sawa mkuu tatizo sio elimu inabidi kipindi cha likizo apumzike ndio maana hata kazi zina likizo vyuo vina likizo kupumzike ni sehemu ya kufanya ubongo upumzike na ulishe vitu vipya
Sahamani kama nitakukwaza,shida yetu Watanzania tulio wengi no wavivu,hivyo tusiutafutie sababu uvivu wetu,tuwazoeze wengine ikiwa hata watoto kutokuwa wavivu kama sisi,Kama hatuwezi tujifunze hata kwa wengine.
 
Likizo je!? Siyo haki ya Mtoto!? Mbona hata wafanyakazi wanapewa likizo!? Usijibu Kama Mwalimu wa Mwendokasi,jifunze kujenga hoja!!
Mfano mabinti inatakiwa wafundishwe baadhi ya vitu na Bibi zao,na kipindi cha likizo ndio muhafaka aswaa kilikuwa
 
Mfano mabinti inatakiwa wafundishwe baadhi ya vitu na Bibi zao,na kipindi cha likizo ndio muhafaka aswaa kilikuwa
Basi mnaopiga kelele Sana mtuambie pia kipindi hiki ndio mnawapeleka watoto kwa waganga wa kienyeji na wale wa kuchukua mahari ndio muda wao, sii kwa kelele hizo.
 
Basi mnaopiga kelele Sana mtuambie pia kipindi hiki ndio mnawapeleka watoto kwa waganga wa kienyeji na wale wa kuchukua mahari ndio muda wao, sii kwa kelele hizo.
izo bange unazovuta binti, angalia utavua nguo adhalani
 
Mfano mabinti inatakiwa wafundishwe baadhi ya vitu na Bibi zao,na kipindi cha likizo ndio muhafaka aswaa kilikuwa
Yaani Walimu wa siku hizi,wao wanazani Maisha ni Elimu ya Makaratasi tu! Hata Watoto wakienda likizo bado wanapata Elimu nyingine tena kwa vitendo zaidi!!
 
Haya huwa in makubaliano ya Shule na wazazi. We we kama hutaki mhamishe mwanao. Sasa mwanamke umekubali kuolewa halafu unang'ang'ania kulala na chupi?!

Sent from my TECNO P701 using JamiiForums mobile app
 
Tatizo letu wa bongo ni ubinafsi mtu analeta hoja mwengine anaichukulia kibanafsi utasikia mtoe mtoto sasa vipi na wale watoto wengine atakwambia hawakuhusu kutokana na hii tabia ndo mambo mengi yanayohitaji nguvu ya pamoja yanakwama
 
Kama wewe ni mzazi na umepleka mwanao shula na unakuja hapa kulalamika basi kuna shida mahali tena kubwa sana................. halafu wewe ni wale hamna elimu mmepata pesa mnafuata mkumbo wa kuwapeleka watoto shule sio mbaya lakini ukafuata kinachofanywa sio uwe na hisia tuu wewe lazima Elimu uako iko chini sana tuu
Wewe huna tofauti na mtoa mada............ hujui hata kuna vikao vya wazazi? wewe unakuja kusema eti anapita huku ndio njia ya kutoa malalamiko... Yaan uache kumkazania mwanao elimu ati aje kusaidia kazi weka wasaidizi mwache mtoto asome......... huko kusaidia kazi atakutana nako tuu kuna kumaliza kuna pia kusubiri alichopanda
 
Aisee umenikumbusha ngoja nikachukue holiday package ya mtoto
 
Tatizo letu wa bongo ni ubinafsi mtu analeta hoja mwengine anaichukulia kibanafsi utasikia mtoe mtoto sasa vipi na wale watoto wengine atakwambia hawakuhusu kutokana na hii tabia ndo mambo mengi yanayohitaji nguvu ya pamoja yanakwama
Ubinafsi gani unataka mtoto akae likizo week nne anaangalia TV na ndio huko kukaa na kuanza kujifunza mambo yasiyo na tija mara kuchezeana acha mtoto asome muda wake na kipindi chake awe na muda mchache wa kucheza na kufanya mambo ya jamii kidogo sio toka asubuhi yuko free mpk usiku uliona wapi?
Watanzania tunapenda uzembe sana aisee khaa. Badala ya kushukuru mwaka jana walikaa nyumbani mpk basi bado mnaona ni shida kupata homework package?
 
izo bange unazovuta binti, angalia utavua nguo adhalani
Wewe uende tu kwenye task force,japo kwa sasa sijui ni ya nini kwani ya enzi za mapambio zimepitwa na muda,lambda ni za kutafuta wakili kwa ajili ya kijana wenu pendwa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…