Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

Mozila

Senior Member
Joined
Mar 23, 2012
Posts
174
Reaction score
48
Waungwana mnisaidie, kama kuna shule nzuri za science hasa za private nitajien
 
Waungwana mnisaidie, kama kuna shule nzuri za science hasa za private nitajien

Marian, kifungiro, mazinde juu, Ilboru, kibaha, mzumbe, Kilakala......................................
 
Jamani naomba mnishauri nikafanye interview school gani ya private ya mchanganyiko yenye ufundshaji na matokeo mazuri kwa michepuo ya sayansi
 
10x mkuu kwa ushaur af naona ka amna utofaut mkubwa kat ya tusiime na Loyola
 
Ila mara nyingi mimi naona pia inategemea na utayari wa wewe mwanafunzi, maana waweza kwenda katika shule nzuri ila kama huna nia ya dhati ya kusoma unatoka na matokeo mabovu japo pia kwa kiasi fulani shule nazo zinachangia.

Ninasema hivi kutokana na experience ambayo nina rafiki yangu alichaguliwa shule moja hivi ya serikali na hiyo shule kiukweli sio nzuri yani haina walimu wa kutosha na mambo mengine kama ujuavyo hizi shule za serikali tena shule yenyewe ipo mkoa lakini kwa juhudi binafsi za huyu bwana alitoka na Div 1 nzuri tu na sasa hivi yupo chuo.

Hivyo ni sawa pia yani (shule+juhudi binafsi= matokeo mazuri)
 
afu usituandikie heading kama una andika sms hivi!!!
 
aya samahann. nimewaelewa. ila. ka. mna. pendekezo. la shule. nyingine. naomba. mniambie
 
afu. kwani. tusiime. ni. boarding. au. ka. Loyola?

Tusiime ina boarding na day pia. Marian Boys pia iko vizuri na ada ni ya kawaida kabisa, ila naona umependekeza shule za mchanganyiko lakini sio mbaya kwenda kuiangalia hata kwenye website yao.
 
Tusiime ina boarding na day pia. Marian Boys pia iko vizuri na ada ni ya kawaida kabisa, ila naona umependekeza shule za mchanganyiko lakini sio mbaya kwenda kuiangalia hata kwenye website yao.

thanks mkuu Marian nzur sema washafanya interview na mm ckujua
 
St joseph millenium, agape seminary, mariagoreth. Hizo ni shule nzuri pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…