Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

Shule Binafsi zinazotoa elimu bora ni zipi?

Marian walianza shule zamani nadhani hats nusu ya syllabus wamemaliza
 
Mkuu sio vizuri kukatisha watu tamaa. Hebu unesha wapi alikuwa anaenda vizuri akaharibu?

Ushauri wangu sasa.
Kwanza ni seme kijana amekidhi vigezo vya kwenda A level tena bahati nzuri sayansi. Muongozo wa wizara unasema ili mwanafunzi aruhusiwe kwenda A level (iwe gvt au prvt) anatakiwa asipate GPA chini ya 1.6 au kwenye tahasusi(combi) apate kuanzia C na kuendelea. Hivyo kama mwanafunzi amepata C tatu za ndani ya kombi GPA haiangaliwi tena.
Kwa maeelezo hayo dogo kafaulu PCB so hapo anakwenda bila shida kabisa. Kuhusu shule ya gharama nafuu sio rahisi kusema ni ipi. Ila kama lengo ni kumsaidia dogo haswa kwenue kombi ya sayansi mpeleke shule nzuri. Moshi kuna shule nzuri kama MAJENGO SECONDARY na Ada yake ni kama 1.2 hivi kwa mwaka ila ni shule ya kutwa. Hosteli zipo ila haziendeshwi na shule na ada ya hosteli ni kama laki 8 hivi kwa mwaka. Hapo dogo akiwa sirius anapiga mkuu.

umesema PCB anawez kupga. Vp mkuu ck hz kgezo cha kupat atleast D Maths hawakizingatii? Maan enz hzo kusma comb ya science shart atleast upat D ya maths ,vp ck hz za BRN hawazingatii?
 
Wanajf habari za makujumu mi nikijana wa miaka 23 niko serengeti mkoa wa mara ni mjasiliamali wa kawaida niko na mdogo wangu anaenitegemea kwa kila kitu mi ndo kaka na mimi ndo baba kwake amehitimu mwaka jana kidato cha nne na post zimetoka majuzi ajafanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano matokeo yake yako hivi CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'E' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' . Nakama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu kipato changu ni kidogo na niko na lengo la kutaka kuakikisha mdogo wangu anafika anapo pahitaji ila tatizo ni pesa siko vizuri kiivyo ndo maana natafuta yoyote mwenye kujua ni wapi naweza pata shule ya advance ya gharama nafuu na yenye kutoa elimu bora na si bora elimu yangu ni hayo tu nangojea msaada wenu wadau.

kajitahd ufaulu. Cjajua km ata accept HGK naon km itamfaa zaid!jarbu pale kwa majiran zako Ikizu au Mwembeni,
 
Back
Top Bottom