kituli one
JF-Expert Member
- Feb 25, 2014
- 409
- 307
ALFAGEMS ipo Morogoro ingekufaa ila ndo umeshachelewa usaili umefanyika leo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sangoma mdogo wako kafeli uyo
acha kukatisha watu tamaa mkuu,
Unataka niandike uwongo ? Kuna sehemu alikua anaenda poa ila ameshindwa kubalance
Mkuu sio vizuri kukatisha watu tamaa. Hebu unesha wapi alikuwa anaenda vizuri akaharibu?
Ushauri wangu sasa.
Kwanza ni seme kijana amekidhi vigezo vya kwenda A level tena bahati nzuri sayansi. Muongozo wa wizara unasema ili mwanafunzi aruhusiwe kwenda A level (iwe gvt au prvt) anatakiwa asipate GPA chini ya 1.6 au kwenye tahasusi(combi) apate kuanzia C na kuendelea. Hivyo kama mwanafunzi amepata C tatu za ndani ya kombYi GPA haiangaliwi tena.
Kwa maeelezo hayo dogo kafaulu PCB so hapo anakwenda bila shida kabisa. Kuhusu shule ya gharama nafuu sio rahisi kusema ni ipi. Ila kama lengo ni kumsaidia dogo haswa kwenue kombi ya sayansi mpeleke shule nzuri. Moshi kuna shule nzuri kama MAJENGO SECONDARY na Ada yake ni kama 1.2 hivi kwa mwaka ila ni shule ya kutwa. Hosteli zipo ila haziendeshwi na shule na ada ya hosteli ni kama laki 8 hivi kwa mwaka. Hapo dogo akiwa sirius anapiga mkuu.
Wanajf habari za makujumu mi nikijana wa miaka 23 niko serengeti mkoa wa mara ni mjasiliamali wa kawaida niko na mdogo wangu anaenitegemea kwa kila kitu mi ndo kaka na mimi ndo baba kwake amehitimu mwaka jana kidato cha nne na post zimetoka majuzi ajafanikiwa kuchaguliwa kujiunga na kidato cha tano matokeo yake yako hivi CIV - 'D' HIST - 'C' GEO - 'D' KISW - 'B' ENGL - 'E' PHY - 'C' CHEM - 'C' BIO - 'C' B/MATH - 'F' . Nakama kichwa cha habari kinavyo jieleza hapo juu kipato changu ni kidogo na niko na lengo la kutaka kuakikisha mdogo wangu anafika anapo pahitaji ila tatizo ni pesa siko vizuri kiivyo ndo maana natafuta yoyote mwenye kujua ni wapi naweza pata shule ya advance ya gharama nafuu na yenye kutoa elimu bora na si bora elimu yangu ni hayo tu nangojea msaada wenu wadau.
mkuu mlete MBEZI BEACH HIGH SCHOOL mwaka huu ndo wanaanza kufundisha masomo ya sayansi na ada yake ni laki nane na ishirini elfu ( 820,000/=) ni ya day, ila hostel zipo, kuna hostel nilikua nakaa na wadau wangu kwa mwezi 35000 msosi unajitegemea.Hiyo shule ipo vzr sana academically. Ukitaka information zaidi mkuu ni PM
VP kuhusu walimu vifaa name maabara
Jamani naomba mnishauri nikafanye interview school gani ya private ya mchanganyiko yenye ufundshaji na matokeo mazuri kwa michepuo ya sayansi
10x, xul......advance level mchepuo wa sayansi
afu. kwani. tusiime. ni. boarding. au. ka. Loyola?