"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

Arusha mjini kuna fukuto kubwa linakuja, Gamba simuoni kama anafaa kuendelea Mbunge wa Arusha na hata sehemu yoyote.
Background yako ya Korogwe akiwa DC bado tunaikumbuka. Ulivyomdhalilisha mwanasheria wa Halmashauri mpaka unapelekwa mahakamani bado tunakumbuka. Gamba akumbuke tu kwamba yeye ni Mbunge Na Makonda ni RC. Hakuna namna yoyote ya kukufanya wewe usimheshimu RC. Hata unavyo muadress ni dhahiri kwamba humtambui kama ni Mkuu wa Mkoa. Tukukumbushe tu kwam,ba huyo RC ndio mwakilishi wa Rais katika Mkoa wa Arusha. Endelea kumdharau Makonda utakuja kujuta.
Gambo atulie maana ufanisi ni vitendo siyo kelele kelele ,!
 
Gambor apigwe za uso tu.
Mpuuzi sana na kujidai anajua kila kitu.
Alitesa sana watumishi wa Serikali ezi akiwa DC na RC. Hata Lema alisumbuliwa sana na Gambor.

Kiukweli hata yeye anajua kuwa hawezi kurudi kuwa Mbunge wa Arusha kwenye uchaguzi ujao.
 
alimaanisha shule ya kuhudhuria darasani, sio shule ya kununua vyeti vyenye majina ya watu. wewe unaitwa daudi albert bashite, ghafla unasomeka makonda. au unaitwa madilu, ghafla unasomeka mwigulu mchema. n.k ni mfano tu lakini.
Unaifahamu vizuri historia ya Makonda au unaijua hii ya mitandaoni? Labda nikusaidie kidogo, nenda Shule ya Msingi Nyanza pale jirani na Jengo Jipya la BOT Jijini Mwanza uulizie kipindi cha Mwalimu Mkuu Mama Tumbo na Shule ya Sekondari Pamba kipindi cha Mkuu wa Shule Mama Ruhumbika (RIP) uulizie kuhusu Paul Makonda na elimu yake. Wakikwambia hawaijui rudi uniulize.
 
tuambie na habari za spika sitta. funguka.
 
Kwanza tujue elimu yako wewe.
Maana kwa akili yako nyepesi unadhani UDOM ni chuo cha mchezo mchezo.
Walulize wenzio wanakifahamu sana.

Mmnh.
Mbona wenzio wanafutiwa vyeti huko Udom ?!
Unayo habari.
Udom unatamba kwa kujilinganisha na chuo gani kwa mfano hadi mjione bora ??
 
Arusha mjini kuna fukuto kubwa linakuja, Gamba simuoni kama anafaa kuendelea Mbunge wa Arusha na hata sehemu yoyote.
Background yako ya Korogwe akiwa DC bado tunaikumbuka. Ulivyomdhalilisha mwanasheria wa Halmashauri mpaka unapelekwa mahakamani bado tunakumbuka. Gamba akumbuke tu kwamba yeye ni Mbunge Na Makonda ni RC. Hakuna namna yoyote ya kukufanya wewe usimheshimu RC. Hata unavyo muadress ni dhahiri kwamba humtambui kama ni Mkuu wa Mkoa. Tukukumbushe tu kwam,ba huyo RC ndio mwakilishi wa Rais katika Mkoa wa Arusha. Endelea kumdharau Makonda utakuja kujuta.

Na Mbunge ni Mwakilishi wa wananchi.
Na Katiba inampa nguvu mwananchi zaidi kuliko kuabudu Viongozi .
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼

"Elimu ya Bashite ina Mashaka" - Gambo
 
Kalikuwaga na jeuri sana wakati kapo na madaraka! Lema alijenga urafiki na gereza la.Kisongo!
Upo sahihi sema katika life unakuta muhuni anakuchukia bila sababu yeyote ili mradi tu mambo yako yakwame.
 
Unaifahamu vizuri historia ya Makonda au unaijua hii ya mitandaoni? Labda nikusaidie kidogo, nenda Shule ya Msingi Nyanza pale jirani na Jengo Jipya la BOT Jijini Mwanza uulizie kipindi cha Mwalimu Mkuu Mama Tumbo na Shule ya Sekondari Pamba kipindi cha Mkuu wa Shule Mama Ruhumbika (RIP) uulizie kuhusu Paul Makonda na elimu yake. Wakikwambia hawaijui rudi uniulize.
Kwa mara ya kwanza anaandika mtu anayemjua makonda hi ili nalisema kila siku.
 
Watoto mapacha Hawa wa JPM,kweli rafiki na adui wa kweli utamjua kwenye pesa/tumbo
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Kwani Jesca Msambatavangu ana PhD?
 
Hizo mentality zao sio nzuri wanabidi kujua Madaraka ni Kama Nyama ya tembo hauwezi kuila peke yako ukaimaliza.

Wamekosa Hekima , sifikirii Kama ni sahihi kudharauliana. Kiasi hiki.

Pia Gambo anachovuna ni karma aliwahi kumfanyia kitu Kama hiki God bless Lema miaka ya nyuma alipokuwa RC.

Tabia ya Ku-Out smart kiongozi wako huwa sio nzuri
Mwenye shida ni gambo, anahisi Makonda anataka kugombea ubunge, na anahisi kwa utendaji kazi wa makonda atambwaga kwenye uchaguzi, tatizo Gambo amejisahau sana.
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Yani hata uwe umesoma Havard ukiingia kwenye system basi elimu unaitupa pembeni
 
Back
Top Bottom