"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

"Shule iliyonyooka" Ndio ipi hiyo Gambo? Ni PhD za UDOM au Degree za OUT?

We bwege sana, Mimi nimesoma Open mtafute mtu yeyote aliyesoma sayansi ya Siasa na utawala chuo chochote unachokijua wewe halafu tukutanishe tupambane kitaaluma, hapo ndipo utajua kuwa Open University ni balaa
 
Ni vema tukapata Ufafanuzi wa " Shule iliyonyooka" Ili na sisi Jimbo la Kawe na pale Iringa Mjini tusije kuchagua Mbunge wa Elimu ya " hapa na pale"

Kwa Sasa Kawe tunaye Dr Gwajima PhD na Iringa Mjini Dr Jesca PhD

Nimekaa pale 🐼
Gambo kamaanisha elimu isiyo na mashaka,ambayo watu hawawezi kukutilia shaka kwamba ulisoma kweli au uliunga unga vyeti vya jamaa flani ili uonekane umesoma
 
Arusha, jifunzeni kutoka Jimbo la Moshi.
Huwezi kwenda huko ukae mwaka upewe Jimbo,hiyo ni ndoto!

Kama Gambo hafai,chagueni mtu mwingine,hapo hapo Arusha.


Mtanikumbuka! Wenu ni wenu TU!
Nguo ya kuazima haisitiri matako.
 
Nani anaitwa Daudi Bashite? Mtafute Gwajiboy akufafanulie.
Mimi nilifikiri wewe ndiye unayemjua vizuri Makonda, kumbe umesikia kutoka kwa mtu mwingine! Tumia kichwa chako kufikiri, usisubiri watu wengine wafikiri ndipo nawe ufuate wanachokisema! Usiwe kama mfu, wewe bado uko hai!
 
Alikuwa hawara ya mamaako na Makonda ndio alikuwa kuwadi! Hata wewe inasemwa ni mtoto wake. Angalia viganja vyako na vyake uone mnavyofanana! Nshafunguka!
oh pole,naona umekwazika na umefika mbali sana nilipotaja spika sita. kwani alikufanya nini?
 
Mimi nilifikiri wewe ndiye unayemjua vizuri Makonda, kumbe umesikia kutoka kwa mtu mwingine! Tumia kichwa chako kufikiri, usisubiri watu wengine wafikiri ndipo nawe ufuate wanachokisema! Usiwe kama mfu, wewe bado uko hai!
Angalia ulivyokuwa hutumii kichwa chako vizuri. Umefuata nn humu mtandaoni kama siyo kupata habari iliyoandikwa na hao hao wanaotumia vichwa vyao kufikiri?? Yaani ulivyokuwa kilaza hujui hata vitabu tulivyojifunzia mashuleni vimeandaliwa na Watu waliotumia vichwa vyao kufikiri?? Au wewe ni yule unaona kichwa chako ni mwamvuli wa shingo??
 
Kwa elimu Gambo kanyooka kiasi chake;

Gambo
1. Kibaha
2. Tanga Tech
3. IAA (Advanced Diploma)
4. Coventry University (Masters)

Makonda;
1.
2.
3. Muccobs
 
Back
Top Bottom