Dalali_wa_kimataifa
Senior Member
- Apr 16, 2025
- 182
- 176
Naunga nawe katika maumivu hayo.Moyo umeniuma sana kuona shule niliyosoma inauzwa🥲
Mbona hiyo bei ni ndogo sana.View attachment 3631895
SHULE INAUZWA
IPO DSM, KITUNDA
UKUBWA WA ENEO NI EKA 12
FULL DOCUMENTS
BEI NI TSH 9b/-
🇹🇿Call/WhatsApp +255758844717
#houseforsale #plotforsale #luxuryapartments #property #creatorsearchinsights
Unadhani masikhara!😂Naunga nawe katika maumivu hayo.
Dah! Kama ni kweli basi pole. Nikadhani unatania.Unadhani masikhara!😂
View attachment 3631895
SHULE INAUZWA
IPO DSM, KITUNDA
UKUBWA WA ENEO NI EKA 12
FULL DOCUMENTS
BEI NI TSH 9b/-
Nipo serious!Dah! Kama ni kweli basi pole. Nikadhani unatania.
Haya, toa pesa, saaa nauza kwa bilioni ishirini.Mbona hiyo bei ni ndogo sana.
Pole.Nipo serious!
Ongeza iwe billion 25 believe me nanunua faster.Haya, toa pesa, saaa nauza kwa bilioni ishirini.
Bange mbaya sana 😂 😆
Kama haukuchukua cheti lazima uandae mlungula wa hela ya maziwa.Vumbi kwenye utafutaji.Moyo umeniuma sana kuona shule niliyosoma inauzwa🥲
Nilichukua mapema tuKama haukuchukua cheti lazima uandae mlungula wa hela ya maziwa.Vumbi kwenye utafutaji.